Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,559
- 1,452
Mfadhili wa Klabu ya soka ya Yanga a.k.a Kagoda FC a.k.a Yebo Yebo jana aliwakilisha hundi ya shilingi milioni 90 kwa ajili ya kuwalipia wanachama 3000 wa Club hiyo ambao wengi wameonekana ni wapenda vya Bure ( But there is no free Lunch) baada ya mamia kumiminika katika Makao makuu ya Klabu hiyo Iliyo katika Makutano ya Mitaa ya Twiga na Jangwani kulipia Kadi zao na wengine kuomba kadi ( Inawezekana hata Mamluki walikuwepo) ili bahati hiyo ya Mtende iwaangukie
Watani zangu Balantanda, Gang Chomba, Mbabe nk Mmebahatika?
Watani zangu Balantanda, Gang Chomba, Mbabe nk Mmebahatika?