Kalunguyeye
Member
- Jan 30, 2009
- 49
- 0
Wakuu ni shilingi moja(sh.1/-) au mleta mada kakosea???
Du makubwa inamaana uharibifu aliofanyia pamoja na heshima yake kwenye jamii plus reputation ya makampuni anayoyaongoza gharama yake ni shilingi moja. Sikutegemea kama anaweza kuwa hana thamani kiasi hicho sasa naamini kuwa ufisadi unamshusha mtu thamani ya utu wake.
Kaamua kutumia haki yake y akisheria kuomba nominal damages - haina maana kuwa shilingi moja ndiyo thamani yake , bali anachotaka ni kusafishwa jina lake analoona Mengi kalichafua kupitia vyombo vyake vya habari.
Kaamua kutumia haki yake y akisheria kuomba nominal damages - haina maana kuwa shilingi moja ndiyo thamani yake , bali anachotaka ni kusafishwa jina lake analoona Mengi kalichafua kupitia vyombo vyake vya habari.
Wakuu ni shilingi moja(sh.1/-) au mleta mada kakosea???
Mkuu,Kwa kuwa mimi sio learned fellow hiyo ndio ilikuwa tafsiri yangu na nadhani itakuwa ya watu wengi zaidi. Naomba nisaidie hivi hizi gharama tunazozisikia huwa haziangalii uharibifu uliotokana na kashfa yenyewe? Kwa mfano iwapo aliyekashfiwa ni mfanyabiashara na pia anaheshima fulani katika jamii fidia yake haiangalii hili pia. Hivi ni kweli unaamini Manji anataka kutumia haki yake ya kisheria tu na si kunakubwa zaidi analotaka kutuambia kupitia kesi hii? Hii haki ya kisheria kuna wakati watu huitumia vibaya japo hawavunji sheria(mifano kibao ipo)
Is it getting any better now?
this was 100% expected. Lakini manji wajiangalie isije kuwa sasa wanaingia kwenye 18 za reg.
hii habari ina mapungufu au si ya kweli....labda bil. na mahakama ya Kisutu haina nguvu kisheria (pecuniary jurisdiction) kusikiliza kesi yenye kiasi hicho cha helaNi serious Mkuu. Anadai Sh 1/-. nadhani lengo lake ni kutaka kumuonyesha Mengi kuwa tatizo lake si fedha
Ameiomba mahakama itoe amri hiyo (ya kuombwa radhi) si kwamba yeye ametoa hukumuManji amekuwa hakimu kutoa hukumu hiyo??? Au ukienda mahakamani kushitaki unaweza kuamua ni hukumu ipi itolewe??? Najua unaweza kudai fidia ukiithamanisha a utu wako...lakini suala la kuombwa radhi iwe radionio.....kwenye TV au ukumbi wa disco....hilo haliko mikononi mwa mshitaki....ni vizuri huyo Manji akatumia mali zake kujielimisha.....