Mbaha
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 697
- 73
To be honest ya manji na kagoda naona ni old news kwangu.
Mpya ni hili la Manji kuwaweka madiwani wake na meya wake jijini Dar na yanayojiri now....
Halafu si Manji ndie mmilikiwa wa SasaTel?
Kodi wanazolipa SasaTel zikoje? Kodi za Quality Group?
tukiendelea kujadili wizi wa 2005 wakati kuna wizi mwingine unaendelea ni busara kweli?
Si juzi jiji wamempa ufukwe wote wa Oysterbay?
Sorry Mkubwa... Wizi ni wizi tu uwe wa siku zilizopita au wa leo?? Madhara yake kwa Taifa hili ni yale yale... Mimi naamini kabisa Wizi uliofanywa miaka iliyopita bado unatugharimu hadi leo!!! Na labda utaendelea kutugharimu kwa miaka mingi ijayo!!! Mimi binafsi sioni ubaya wa kuendelea kujadili hilo. "IF YOU DON'T KNOW YOUR PAST..... YOU DON'T KNOW YOUR FUTURE..."