Manispaa ya Shinyanga yapiga Marufuku Ufugaji wa Nguruwe

Hivi kuna dini isiyotumia nguruwe kama kitoweo???..80% ya rafiki zangu wa kiislamu wanatumia huyu mdudu kuliko mimi
Mabaa ya kiti moto yalivunjwa Sinza majuzi kuna watu walikuja juu. Watu kumbe walikuwa wameinvest bila hata kujali halali wala haramu.
 
Usipende kila kitu kufanyiwa. Go do your homework.

Shule ulienda kusomea ujinga?

Wewe ndiye ulienda kusomea ujinga kwani unaongea vitu ambavyo huvijui, sheria hizo za kikoloni zishafutwa kuna sheria mpya tu tena za majuzi afu umaanza kuleta uswahili hapa.
 
Wewe ndiye ulienda kusomea ujinga kwani unaongea vitu ambavyo huvijui, sheria hizo za kikoloni zishafutwa kuna sheria mpya tu tena za majuzi afu umaanza kuleta uswahili hapa.

Wacha porojo, kuhororoja na kubwabwaja bila mpango. Hakuna sheria mpya yoyote inayoruhusu kufuga nguruwe mijini, kuwadanganye mapunguani wenzako.

Unaongelea mimi kuleta uswahili wakati nawe waandika Kiswahili.

Amma hakika u punguani wa hali ya juu.
 
Je mabucha ya kitimoto na sehemu zinakopikwa hiyo kitimoto haiwezi kuvuruga amani?

Hata kuchinja nayo itavuruga amani pia sasa sijui tutibu kipi tuache kipi.Tumevumilia kwenye KUCHINJA na wao WAVUMILIE kwenye nguruwe kukatiza mjini na mitaa yake
 
Wacha porojo, kuhororoja na kubwabwaja bila mpango. Hakuna sheria mpya yoyote inayoruhusu kufuga nguruwe mijini, kuwadanganye mapunguani wenzako.

Unaongelea mimi kuleta uswahili wakati nawe waandika Kiswahili.

Amma hakika u punguani wa hali ya juu.

Hizi elimu mnzapata kwa mature entry zinasumbua sana. Umesema sheria za kupiga marufuku ngurewe mjini zilitungwa kuanzia enzi za mkoloni. Point yangu ni kuwa tuna sheria mpya za mambo ya mifugo iwe mjini au vijijini. Pia sijaona sheria ya bunge inayokatakaza nguruwe kufugwa mjini ili mradi iwe zero grazing. Labda by laws. Mwishoni mtu kuongea au kuandika kiswahili hakumfanyi kuwa mswahili.
 
Wewe ndiye ulienda kusomea ujinga kwani unaongea vitu ambavyo huvijui, sheria hizo za kikoloni zishafutwa kuna sheria mpya tu tena za majuzi afu umaanza kuleta uswahili hapa.
Hebu tuwekee hizo sheria mpya tuzione kuliko kulalama tu bure
 
Huu ni uamuzi wa kupongezwa sana.Shy town waislam ni wengi lakini hoja ya msingi si ruhusa kufuga wanyama hao wanaotoa harufu mbaya ambayo ni kero kwa wengine.Mahali panapofugwa mbuz katoliki pananuka vibaya. Sasa ukiwafuga mjini kwenye msongamano huoni sio vibaya? Mi uamuzi huu naupa tano.
Mkuuu umeshawahi kupita mahali wanapofugia Kuku wa kisasa? Kuna harufu mbaya kuliko nguruwe . Waache nguruwe wafugwe jaman .
 
Hivi kuna dini isiyotumia nguruwe kama kitoweo???..80% ya rafiki zangu wa kiislamu wanatumia huyu mdudu kuliko mimi
Unajua Muislam ni mtu wa aina gani? Hao rafiki zako kama wanakula hao wadudu basi hao sio Waislam bali wana majina tu yanayofanana na majina wanayotumia waislam.
 
Unajua Muislam ni mtu wa aina gani? Hao rafiki zako kama wanakula hao wadudu basi hao sio Waislam bali wana majina tu yanayofanana na majina wanayotumia waislam.
Eeh..hakuna exception katika hiyo general rule ya kutokula mdudu???

Hao sii waislam bali wana majina ya kiarabu
Kweli???

Waislam wameruhusiwa kula ila kuna mazingira na vipindi vyake
Haya Mzito Kabwela kaleta exception.. Semeni sasa..:D:D:D
 
Halafu utamu wa Nguruwe usimle kila siku. Kula kwa hamu. Nguruwe mtamu kweli mie mwenyewe simli Kikristu namla kislamu kwa hamu
 
Watu waanzaje kula wanyama wanaonula vile?
Hamuoni hata mapepo yalichagua kwenda kwa nguruwe?
 
Nilijua lazma Faiza Foxy ajitokeze kwenye hili jambo la mbuzi katholic Anamkubali raisi wakati rc ndo mboga mkuu wap utawakataa wacatholic
 
Watu waanzaje kula wanyama wanaonula vile?
Hamuoni hata mapepo yalichagua kwenda kwa nguruwe?
Sasa wangeenda wapi wakati nguruwe ndo walikuwepo pale. Nadhani Kama wangekuwepo ngamia pale basi yangeenda tuu
 
Back
Top Bottom