Manispaa ya Shinyanga yapiga Marufuku Ufugaji wa Nguruwe

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, imepiga marufuku ufugaji wa nguruwe katikati ya mji kwani inaweza kusababisha kuvurugika kwa amani.
Chanzo:Nipashe
 
kwa nini nguruwe? kuku, ng'ombe, je? ... sidhani kama halmashauri zina jurisdiction over hii kitu. kama hii ni kweli, basi kuna udhaifu mkubwa ktk uongozi/mambo nchini yanaenda hovyo hovyo, watu wanajiamulia kufanya mambo ambayo hata hawana mamlaka nayo.
 
Huu ni uamuzi wa kupongezwa sana.Shy town waislam ni wengi lakini hoja ya msingi si ruhusa kufuga wanyama hao wanaotoa harufu mbaya ambayo ni kero kwa wengine.Mahali panapofugwa mbuz katoliki pananuka vibaya. Sasa ukiwafuga mjini kwenye msongamano huoni sio vibaya? Mi uamuzi huu naupa tano.
 
wawafuge mashambani...

pia kitendo cha kufuga ng`ombe mjini esp. dar kuna maeneo utaona kundi la ngo`mbe linapita barabarani ....
 
Maeneo ya Manispaa hakuna kufuga wala mashamba hilo linajulikana na lipo wazi
 
Back
Top Bottom