malema 1989
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 1,312
- 512
afu Jirani yetu ana Walizi wawili wote wachanga,, pia housegirl wake ni Mmachame,
kwenye RED hapo! kweli watakaohesabu sensa wana kazi.Kama wachaga=wachanga, walinzi=walizi lazima mtoto utamwita baba na baba awe mtoto. Wote tukiwa maafisa wa TRA nako mtasema mnaonewa, kila kitu kunungunika tu.