Manispaa ya Moshi ni mfano wa kuigwa

Magesi

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
2,587
573
Manispaa ya Moshi ikiongozwa na Meya makini kutoka chama makini CHADEMA imeonyesha kuwa ni mfano wa kuigwa hii ni baada mgomo uliokuepo kuhusiana na ushuru kutoka sh 1000 mpaka 1500 kutikisa hali ya usafiri kwa siku kadhaa,Imeonyesha lengo la kuongeza ushuru baada ya kuanza utekelezaji wa bajeti kwa kishindo na kuwaziba mdomo CCM kwa kuanza ujenzi wa barabara za katikati ya mji ambazo CCM walishindwa kuzitengeneza kwa kipindi kirefu.M4C DAIMA
 
Kwa hiyo mkuu mgomo umeisha, na watu wamekubali kulipa hicho kiwango kipya cha ushuru?
 
Back
Top Bottom