Manii nyeusi

happy amos

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
251
434
habar zenu nauliza nini husababisha shahawa kuwa nyekundu au nyeusi maaana mme wangu anatatizo hilo sasa sijui kama ni tatizo au ni kawaida, msaada plse
 
  • Thanks
Reactions: SMU
habar zenu nauliza nini husababisha shahawa kuwa nyekundu au nyeusi maaana mme wangu anatatizo hilo sasa sijui kama ni tatizo au ni kawaida, msaada plse
Duh..poleni. Najiuliza tu je umezionaje? Anatumia mpira/condom? Au ni kwa kuangalia zile zinazomwagikia nje baada ya tendo?
 
maswali mengine yanasababisha watu tucheke kwanza, mdogo wangu hakuna shahawa nyeusi wala nyekundu, sanasana kama mumeo amekaa muda mrefu zile za kwanza zitatoka kama cream fulani hivi then unapata shahawa za kawaida ambazo ni majiji meupe (sio nyeupe kama karatasi) japo tunaziita nyeupe. mwambie mumeo aende hospitali
 
mgonjwa huyo usikubali akumalizie ndani hadi apone... shauri ya vicheche na nyumba ndogo
 
Ana ugonjwa wa zinaa huyo, Mwambie akimbilie hospitali haraka, anaweza kuwa hanisi hivihivi.
 
usiogope,atakuwa na tatzo la kiafya mme wako,so mshauri mwende wote hospital,mm nilishawah kuugua ini nikawa natoa manii za njano lakin baada ya kupona ini zkarudia rang yake ya kawaida
 
Damu kwenye Manii(Hematospermia)
Visababishi:- 1.Uvimbe/Mchubuko ndani ya tezi ya uzazi(Benign/Malignant tumors & Inflammation of the Prostate).
* * * * * * * * * 2.Mawe(Calculi i.e Insoluble calcium compounds) ndani ya tezi ya uzazi na mirija ya manii(seminal vesicels).
* * * * * * * * * 3.Maradhi mfano:- kichocho.
* * * * * * * * * 4.Saratani ya tezi ya uzazi(Prostate Cancer).
* * * * * * * * * 5.Kujichua(Punyeto) mara kwa mara(Prolonged sexual masturbation).
 
Mnhhh..dada yangu majibu mengine yanaweza kukuvunjia ndoa yako hapa au hata kukuondolea uhai wako kama presha, bp, shell na oilcom haviko mbali nawe... Jambo la msingi ni muende hospital mukapime kwa pamoja afya yenu ya uzazi na magonjwa ya njia hizo.

Poleni kwa mtihani.
 
at my age, this is new.

Pole kwa maswahibu.
Hapo ni hospitali tu, tena kwa wale wa mambo ya vizazi.
 
Rangi ya manii ni kama juisi ya ndimu. Ikiwa nyekundu au Nyeusi, huyo mumeo ana matatizo na amuone daktari haraka sana.
 
Back
Top Bottom