blackpepper
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 381
- 16
viashirio vya ushoga hivyo......invitation to treaty
Kweli Masaki!!, kwanza mwenye kumsugua mikono naona kama mikono ya jidume, mikono ina mayoya.
Unaskiaje Mume mwenzako akikugusagusa??, Balaa hii!!!!!
Sipati picha mwanaume mwenzio anakufanyia massage...:wink:
Ni ushamba, na dalili za ushoga hizo!
Jamani tuachane na UJIMA kwani kufanya usafi wa kucha ndo ushoga??if he can afford,let him do it hata ikiwezekana afanye na waxing mbona vitu vya kawaida tu siku hizi, he is always smart,ni mfano wa kuigwa.
well .....ndo utandawazi wenyewe. Wenyewe wanaita Metrosexual man! kwa upande wangu nnaona ovyo tu!