Mangula wa ccm

RasJah

JF-Expert Member
Nov 5, 2009
703
64
Nimekutana na huyu muheshimiwa mstaafu katibu mkuu wa ccm hapa iringa dukani ananunua mbolea ya kupandia wakati msimu wa kupanda bado. Jamani mzee kachoka vile na zile ndevu ni hatari....
 
Ngalangala kweli wewe ni ngalangala kama jina lako,mzee Mangula ni mkulima ambaye anajituma katika kilimo kwa hiyo usile mada ambazo hazina tija!!!!!!!!!!

RAI yangu kwa wanaJF tuanze kutoa maoni juu ya Members wote wanao misuse this privilege idea exchange wapigwe ban forever.......to maintain our credibility and dignity for the benefit of next generation!!!!!!!!!!!
 
Mzee ameapa hawezi kulima tena viazi mviringo kwasababu alidhurumiwa baada ya kutumia kipimo cha lumbesa!
 
Nimekutana na huyu muheshimiwa mstaafu katibu mkuu wa ccm hapa iringa dukani ananunua mbolea ya kupandia wakati msimu wa kupanda bado. Jamani mzee kachoka vile na zile ndevu ni hatari....

Unajua anaishi Makete sijui Ludewa huyo,
kwahiyo labda leo kapata lift ya gari ya CCM, akaona ngoja anunue mbolea ya msimu wa kilimo mwezi december kabisa.

Anaweza asirudi mjini tena huyo mpaka Dec.
 
Lazima uwe great thinker mkuu,
habari ambayo munaona kwako si habari inaweza kuwa habari kwa mtu mwingine, au hata wewe kwa baadae. Mimi huwa napita tu ukiona wewe si mtumiaji wa hiyo habari.

Back
Top Bottom