Wanawake LIVE: Mange Kimambi azungumzia maisha yake binafsi, mipango na ndoto ya kuolewa na mzungu

Tokea akiwa mdogo alikua na dream ya kuolewa na westerner!
 
Life is too short!live your life!its better kuishi mwenyewe kuliko kuishi na mume anayekunyanyasa ili kufurahisha watu.
 
huyu binti ni mashauzi. anajifanya eti kiswahili kinamshinda kuongea. halafu anatunisha misuli ya shingo wakati wa kuongea utafikili anapigana. kaniboa
 
Yani yani yani yani napenda kusaidia watoto yatima..yani yani yani ninasaidia watoto wa kike kwa kubandika kwenye blog yetu msemo wa 'education is sexy'...mbwembwe nyingi ila mie sijaona kikubwa kama mnavyomtengeneza umu.
 
huyu binti ni mashauzi. anajifanya eti kiswahili kinamshinda kuongea. halafu anatunisha misuli ya shingo wakati wa kuongea utafikili anapigana. kaniboa

ana kigugumizi mwenzio,ombea na mwanao kisimpate
 
Yani yani yani yani napenda kusaidia watoto yatima..yani yani yani ninasaidia watoto wa kike kwa kubandika kwenye blog yetu msemo wa 'education is sexy'...mbwembwe nyingi ila mie sijaona kikubwa kama mnavyomtengeneza umu.

hizo 'yaani' zilizidi kipimo....Devotha alikuwa anaongea kwa utulivu sana....amenivutia....
 
Yani yani yani yani napenda kusaidia watoto yatima..yani yani yani ninasaidia watoto wa kike kwa kubandika kwenye blog yetu msemo wa 'education is sexy'...mbwembwe nyingi ila mie sijaona kikubwa kama mnavyomtengeneza umu.

Form six kuna somo tulisoma linaitwa GS kuna mambo tulijifunza katika maswala yanayohusu speech na public speaking
1.Avoid ambigous mannerism
eg kujikuna yl unaongea na vitu vinavyofanan na hvyo

2.Repetion ya words eg kwa mange yani yani yani yani yani mi sipublish comment yani yani yani walizotukana yani yani yani yani nasoma comments yani yani zaidi ya 500 yani yani kwa siku
 
yeah,anajitahidi though sometimes anabore anapokuwa anabishana na washiriki badala ya kuongoza kipindi.

Naye Devotha Dandu kha sorry sijui mzungu wake anaitwaje ngoja nitumie Devotha dandu,du huyu dada anajimaintain kweli yani yupo vile vile tangie nimuone kwenye video ya lady jaydee usiusemee moyo safi sana devotha
 
ok!alisema kwamba kafanya hiyo interview,naona anajitahidi sana kufanya atambulike kwamba ni muzungu wife,mama wa mulato.mwanvita makamba friend,blog owner...etc
who is she anyway?
 
Back
Top Bottom