Mange Kimambi wa Kimataifa (USA) aka Teairra Mari

Status
Not open for further replies.

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
Mhh, huyu dada na maneno ya Mange kuwafundisha wenzake jinsi ya kuwawinda Wanaume wenye hela zao yaani Mabuzi au Wadhamini in English (Sponsor) yako kama chanda na pete. Yameiva kwa kukalangizwa hasa. Maneno ovyooo ila wimbo nimeupenda sana hasa sauti ya bibie na instruments zimetulia....

Nasikia huu wimbo umepigwa marufuku USA kisa unafundisha mabinti kuwa ma Golddigrers.

Weekend njema wote, buy buy byeeee......

Bibie na Jaguar alilolipata kwa kuolewa na Mthungu.....Bahati ya mwenzio....

mk.jpg
 
Last edited by a moderator:

Hapana bana...wimbo haujapigwa marufuku. Leo hii nimeusikia redioni na hata MTV Jams uko kwenye rotation. Ni BET tu ndio wameuengua kwenye rotation yao. Mimi napenda beat yake na flow ya Gucci Mane na Soulja Boy (as weird as that may sound - me liking Soulja Boy Tell'Em)

Congress shall make no laws abridging the freedom of speech.
 
Last edited by a moderator:
Nyani acha kuudanganya umma, Congress ishaweka law za namna hiyo re patriotic act vs ugaidi duniani!
 
Kumbe huwa wanachemka sasa inakuwaje unadiriki kusema kwa uthabiti "Congress shall make no laws abridging the freedom of speech"?

Kwani hayo ni maneno yangu au yaliandikwa na lizungu lililokwishakufa zamani za kale...?
 
[COLOR=darkorchid said:
Nyani Ngabu;967999]Kwani hayo ni maneno yangu au yaliandikwa na lizungu lililokwishakufa zamani za kale...?[/[/COLOR]QUOTE]

kwa vile umeamua kuyatumia, moja kwa moja utakuwa unayakubali, hata yakiitwa yako ni sawa tu......eti!
 
Bibie na Jaguar alilolipata kwa kuolewa na Mthungu.....Bahati ya mwenzio....

sasa,ni bahati kuolewa na 'mdhungu' na kupata jaguar?????mbona nyinyi waafrica mnajidhalilisha?wanaume wa kiafrika si wanaume au?halafu wanawake wakiwakataa mnalalamika...!
 
Mzungu ni Binadamu tu kama wengine. Hata kama angelikuwa kaolewa na FISADI na akapewa gari kali kuzidi hilo au kigari chekundu, bado tungelisema kapewa kwa kutumia nguvu ya tunda la mti wa katikati. Sasa kama kapewa na Mthungu na yeye mwenyewe kasema hivyo, wewe unataka tupindishe?

Mbona unawababakia sana Wazungu? Ni watu wa kawaida kabisa na ukiwaona wee jua kuna mijinga kibao ambayo wengine hadi huwa tunaitunakana. Acheni kuwaogopa Wazungu kiasi hicho.
Kuhusu watoto weusi, mhhh!!!! Kwani nikiwa Tz leo Mange atanikataa? Una uhakika gani kuwa watoto weusi wanakataa vijana weusi? Mie nilishakutana na dada kibao ambao hawataki kabisa Wazungu kwani wanadai vibamia hawahusudishi. Na hata ukikuta kigongo kikubwa basi huwa vimelegealegea na haviwi vikakamavu kama Service man wa Mlale JKT enzi za Mtono. Pia kumbuka akina dada weusi huwa wanakuwa na Wazungu kwa sababu mbili kubwa yaani:
1. Wanataka pesa za Wazungu.
2. Wanataka kuonja Wazungu (hata mie ningelipata nafasi, nsingelisita kufanya hivyo na dada wa Kizungu).

Amini usiamini, Wazungu wengi pia hukimbilia wanaume Weusi kwa kufahamu kuwa tumejaliwa kamguu ka mtoto kati ya miguu.

wanaypyafanya ili kupata hayo ma 'jaguar' asikwambie mtu,bora yabaki kuwa siri yao...ni mazito,hata wewe huwezi fanya nakwambia.so,usimwonee wivu mtu aliye na kitu fulani,hujui 'alivyopigika' kupata hivyo vitu.
 
Principessa,
Kwa mie wa Tabora, hayo maneno nayafahamu kwa siku nyingi kidogo. Kwa msemo wa Kiswahili wanasema "ukiona kinaelea, kimeundwa..." na "mkono mtupu haulambwi".
Nasema kuwa natoka Tabora kwa sababu miaka hiyoo, kulikuwa na bendi inaitwa Tabora Jazz Band na waliimba kibao kimoja maarufu sana miaka hiyo na sasa ni zilipendwa. Wimbo huo unaitwa MARIAM MPENZI na umeonya juu ya hiyo kitu iitwayo tamaa kuwa huwa ina gharama zake. Ndiyo maana nikaandika kuwa mlango wa mwenzako usilalie mlango wazi. Duniani hakuna lunch ya bure na ukila ya bure basi ufahamu kuwa gharama yake huwa malipo magumu kule mbele......
Mariam wangu uko hapa kwenye link, sikiliza kipande cha mwanzo tu kama dakika moja. Bonyeza tu kwenye wimbo na wimbo utaanza kupigwa kwa juu.
Tabora Jazz Band : Listen and Download MP3s at Cowbell.fm

Back
Top Bottom