Maneno yanayonikera siasa za CCM: uchochezi, uchonganishi, kutishia amani na uvunjifu wa amani

KAMA HUJA TAMBUA MAANA YA AMANI YETU BASI JIVUE GAMBA.
" Imagination is more important than knowledge. For knowledge is limited, whereas imagination embraces the entire world, stimulating progress, giving birth to evolution.
 
Kenya kuna mafisadi lakini wanaspare Taifa kiaina si kama sisi.

Wao atleast something is happening...
 
Amani yetu inatusaidia kuwaneemesha mafisadi na watoto wao.

Mkuu hata wewe umekata tamaa kabisa kiasi cha kutoa majibu mepesi kiasi hichi, Kweli Jasusi...sasa hapa naanza kupata tabu kidogo, hii inaonesha kuwa basi kuna wengine wamekwisha kata tamaa zaidi.

Mimi nadhani sababu ni Uongozi uliotukuka japokuwa hata wenzetu siyo wasafi sana lakini ni wachapa kazi kweli kweli, na hii ya pili itawakwaza wengi, lakini lugha na customer service wenzetu wapetupiga bao sana.
 
Kama sisi Watanzania hatutaleta mabadiliko katika hii Tanzania Yetu. Filosofia ya Utulivu na Amani itaendelea kuwanufaisha Wachache na kuendeleza matabaka ya Utajiri na Umasiki.
 
hali ya hewa ya DAR ni mbovu kwa wanaotoka nchi za baridi. Na masikio na akili za viongozi ni DAR tu.
 
Hivi definition ya AMANI ni ipi.

kodi yako kutumika vizuri ikienda hospital docta na dawa zipo,bara bara bara fire brigade umeme sio wewe unaambiwa ukiuguwa utapanda bajaji wakati hazionekani hata mafuta petrol hakuna lakini wao VX ,BENZ BMW kutibiwa india au alikofia nyerere ila ipo siku hakuna amani bali ni ujinga umetuzidi hata ukiangalia michango iliopo humu sio ya maendeleo,
 
Kenya kuna mafisadi lakini wanaspare Taifa kiaina si kama sisi.

Wao atleast something is happening...

jmush sasa kama ni hivyo inakuwaje KENYA inakuwa the second largest foreign investor in Tanzania, ha siyo nchi nyingine?..huu ufisadi wao hawauoni?
 
Ubinafisi wa viongozi wetu, kutokusoma alama za nyakati na uzembe wa kufikiria ndiyo umelifikisha hapa Taifa hili, migomo vyuo vikuu, mfumuko wa bei, wizi wa fedha za umma, viongozi makatili wasio na huruma na watoto wa masikini ndiyo watakaoamusha hasira za watanzania wote. Nawaomba waendelee tu na tabia hizo za ukatili lakini mwisho wao umekaribia.Iko siku tutawafanyia ukatili mkubwa sana wao na familia zao na hawataamini kitakachotokea muda si murefu. Vijana kwa wazee tuendeleze harakati za kudai haki ndani ya nchi yetu ambayo imeporwa na viongozi wenye ROHO YA SHETANI. vijana mnaoonewa vyuoni msikate tamaa jipeni moyo MUNGU wetu ni mwaminifu mwisho tutashinda tu dhidi ya uongozi dhalimu wa nchi yetu.
 
Chembe na chembe mkate huwa!
Imefikia hatuA watu wanafurahia kitendo cha Ujambazi kilichotokea Geita juzi, kisa ni kukasirishwa na ubebaji wa madini yetu ambayo yanapelekwa moja kwa moja South Africa!
Ukiwauliza kama wanajua ni kiasi gani cha madini, hupati jibu!
Siku zao ziko ukingoni!
 
Chembe na chembe mkate huwa!
Imefikia hatuA watu wanafurahia kitendo cha Ujambazi kilichotokea Geita juzi, kisa ni kukasirishwa na ubebaji wa madini yetu ambayo yanapelekwa moja kwa moja South Africa!
Ukiwauliza kama wanajua ni kiasi gani cha madini, hupati jibu!
Siku zao ziko ukingoni!

kaka bila aibu kiongozi mmoja wapolisi akaongea na vyombo vvya habari na kusema hao wezi walikuwa wanafuatilia kila wiki madini ya bilioni 130 husafirishwa kila wiki kwenda south.
hebu fikiria mgodi mmoja unatoa 130 kwa wiki kwa mwaka ni sh ngapi?
tanzania kuna migodi mingapi ya aina hiyo?
serikali inalipwa kiasi gani?
na je inalijua hilo?
 
Du!!! leo nimeamka na jumbe za ajabu kuhusu amani ya Tz kuwekwa rehani na viongozi wasio waadilifu, maana nimetoka kusoma jumbe huu hapa chini. Mie sijui kama ni kweli au la...lakini nikiunganisha na thread yako...naanza kupata mashaka.

MAONYO JUU YA VIONGOZI WA NCHI YA TANZANIA.
Bwana wa Majeshi, Muumba mbingu na dunia; Asema, nimesikia kilio chao wanaoonekana ni wanyonge. Nami nitaondoa amani na kuleta vita, itakayodumu kwa muda wa mwaka mmoja. Ili nikikomeshe kiburi cha mwanadamu, mpate kujua kuwa mimi Mungu ndiye niletaye Amani ya nchi. Kwa sababu hamtendi haki!!. Vilivyopaswa kula wajane na yatima mmekula viongozi. Mimi Mungu nitamfutilia mbali kila aliye na utukufu wake mwenyewe na aliye jiinua juu ya nchi atakufa yeye pamoja na nyumba yake. Sikieni ninyi nyote mnaoijua siri hii kuwa nchi hii siyo masikini! Nanyi mnajua kuwa nchi hii siyo masikini; Kwa nini mnasema uongo kuwa nchi hii ni masikini? Basi mimi Mungu nimesikia msemayo. Maneno yenu, na vinywa vyenu vinanuka mbele zangu kwa sababu yote mliyoyasema ni kwa ajili ya faida zenu wenyewe. Ili kuwaficha watu wachini na wanyonge. Kuwafumba wasijue ukweli wa uzuri wa nchi yao pamoja na utajiri wake. Ili ninyi mpate kufaidi na kuwadhulumu haki yao. Tanganyika (Tanzania) ni nchi yenye utajiri mwingi sana, fikirini kwa makini ninyi mnaosema kuwa nchi hii ni masikini!! Je mimi Mungu ni muongo? Mimi niliyeweka utajiri mwingi kwenye nchi hii; utajiri wa aina mbalimbali pamoja na madini ya aina nyingi mengine hamjayajua?Kwa nini mnathubutu kusema kuwa nchi hii ni masikini?. Mmeufungua utajiri wa nchi hii na kuwapa wageni kwa faida zenu viongozi. Hakika Mimi Mungu nimeyaona mateso ya wanyonge wa Tanganyika (Tanzania)!!. Geukeni basi mkatende haki! Lakini msipogeuka hakika maombolezo yanakuja. Asema Bwana wa Majeshi ambae ni chanzo cha Tanganyika ! "Basi tazama nimenyoosha mkona wangu juu yako, nami nitakutoa uwe mateka ya mataifa. Nami nitakukatilia mbali na kabila za watu, nami nitakuangamiza usiwe katika nchi hizi; nitakukomesha nawe utajua yakuwa mimi ndimi Bwana! ˝Ezekiel 25:7 Walikuwa kama farasi walioshiba wakati wa asubuhi, kila mmoja akalia kwa kutamani mke wa mwenzake. Je nisiwapatilize kisasi juu ya taifa la namna hii? Pandeni juu ya kuta zake mkaharibu, lakini msiharibu kabisa, ondoeni matawi yake kwa maana si yake Bwana - Yeremia 5:8-10 Ujumbe huu Bwana alisema nami alfajiri ya tarehe 8/01/2012 saa 10-11 alfajiri. Ujumbe kwa ajili ya viongozi wa Taifa la Tangayika (Tanzania)
Mimi
………………………………..
MJOLI WA BWANA
REBEKA SHIJA MASANJA
SIMU: 0718- 600 557
 
Back
Top Bottom