Maneno ya Ujumbe wa Mh. Zitto kwa Viongozi Maswi na Prof. Muhongo hauna maadili ya Uongozi!

The last time i checked Zitto alisema aliwatafuta naibu na waziri wake kwa simu kuwauliza kama ni kweli walimuambia mwandishi wa habari kuwa yeye Zitto kala mlungula. Simu zao ziliita bila kujibiwa..

Now this message supposedly sent by Zitto to Naibu and Waziri wake.

Ok, kama message katuma Zitto:

(1) Ni jambo la kawaida kwa kila binadamu hasa yule ambae ni "public figure" kujitetea kwa kadri awezavyo dhidi ya whatever claim is being levelled against him/her. That may take even foaming at the mouth...

(2) Ni jambo la kawaida kwa kila mtu amfahamue "public figure" kusema anayoamini. Oh, mimi nilisoma na Zitto,the guy alikuwa very principled na hawezi kamwe kula mlungula...Oh, mimi siku zote nahoji Zitto anatoa wapi hela za kumiliki magari ya kifahari....Oh, Jamaa ni double agent...Oh, ndo maana Zitto kwenye mazoezi magumu ya kiukombozi anaingiaga mitini na kuwaacha makamanda wa kweli wa CHADEMA vitani...

What I see coming:

(1) Waliovuta mchuzi wa mlungula tutawajua tuu.
(2) Waliozusha hawakula wakati walikula, tutawajua tu.
(3) Waliozusha kuwa wenzao wamekula mlungula wakati hawakula, tutawajua tu.

UZUSHI will go both ways! Funny but it has a sly way of doing that!

Lakini matokeo mazuri ya uchunguzi yatategemea uhuru, uwezo na msimamo wa watakaochunguza!
 
Back
Top Bottom