SOKON 1
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,134
- 331
Mnamo tarehe 22-12-2010 waziri wa elimu alikuja Udom kutatua tatizo la wanafunzi kutokwenda field ila alitoa tamko kwamba TCU ipo chini yake atakwenda kuiagiza ipitishe degree zote zile ambazo hazikuenda field wanafunzi walimsikiliza uku wakiwa na matumaini ya kwenda field ila 10-6-2011 TCU walitoa tamko kwa wanafunzi wote kuwa waziri wa elimu hakusema chochote na wao kwa iyo wanachotambua ni kwamba zile degree ambazo hazitakwenda field hawana field na waandamane ila watakapo kwenda mahakamani wasisahau kitabu cha mwongozo wa masomo. Ila 12-6-2011 saa 6 usiku Prf. Kikula (VC) alikuja chuo na kuwaita wanafunzi wote wa sayansi na jamii na kuwaambia serikali imetenga Tsh 1.6 bilioni kwa kozi zote ziende field ikiwa na zile ambazo hazikuwa mwanzo ila palipokucha asubuhi 13-6-2011 katika bunge waziri wa elimu akasema serikali imetenga Tsh 326 mil kwa ajili ya wana udom kwenda field hapo kuna kutofautiana kauli kati ya VC na waziri wa elimu lakini hakuishia hapo wanaudom wakaendelea kugoma ila 14-6-2011 jioni ikaja barua kutoka wizara ya elimu ikiwataka wanafunzi warudi darasani kwani wadai yao yameshatatuliwa, kwenye iyo barua ilisema 'degree tajwa' zitakwenda field so its unknown mention degree uku ikiwa haina muhuri wala saini ndipo wanafunzi wakataharuki.
My take;
Siasa haitajiki katika maswala ya muhimu tena cha maendeleo kinacho husu maisha ya mtu kwani wana udom walichoka kudanganywa na kupewa ahadi za uwongo. So hizo ndizo sababu za wanaudom kumtaka waziri wa elimu waje chuo wasibitishe kauli yake ila alikataa kuja.
Nawasilisha
My take;
Siasa haitajiki katika maswala ya muhimu tena cha maendeleo kinacho husu maisha ya mtu kwani wana udom walichoka kudanganywa na kupewa ahadi za uwongo. So hizo ndizo sababu za wanaudom kumtaka waziri wa elimu waje chuo wasibitishe kauli yake ila alikataa kuja.
Nawasilisha