Umelewa rubisi unaongea pumba tupu, zitto ni Kiboko Angalia namna anavyojenga hoja, hakurupuki Kama wapenda periderm Heche na KigailaMwanzo wa CDM kuwa imara.
1.Kauli za zitto
2.Kupoteza umeya mwanza
Mtake msitake tatizo si Mh zitto kutanganza kuwania urais 2015 laaa.Tatizo kuwa Mh ZITTO alikuwa hana cha kwa waambia watu walioudhulia mkutano huwo.Swali langu je walioandaa mkutano ndo lilikuwa lengo la kumwalika zitto pale.? Amini na usiamini Mh ZITTO anakwenda kama kinyonga.Kauli hizi zinaweza kuwa zinamsaidia au azimsaidiii huko twendako. Nanukuu msemo wa Marehemu BA,WA TAIFA JK.(Nyumba isipokuwa na msingi IMARA ikikumbwa na dhoruba itapata nyufa zinaweza kuwa kubwa au kidogo) Fikiri