maneno mawili matatu ya kichaga

papag

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
1,137
1,608
neno maana yake

Shimboni Shikamoo (Habari yako?)
Shimboni mae/mbe Shikamoo mama/baba?

Nasicha Nzuri

Aika Ahsante
*mae/mbe yanaweza kuwekwa mbele ya neno lolote la salamu
m.f.) "Aika mae" "Aika mbe"

Aika mana Ahsante mtoto

Rakucha Usiku mwema

Chamecha Pole na...(hasa kwa safari)

Otana Pole na kazi.

Okora mae Ahsante mama kwa kunipikia chakula

(Okora mae lipo ila huwezi kusema "Okora mbe" useme tu "Aika mbe" kama baba akipika chakula labda)

Nokyelaonacho? Unaitwa nani?
Ngikyelao ~~~ Naitwa ~~~

Oroka Simama
Ramia Kaa

Tikira Sogea

Shinde! Twende!

Ngicho njaa mae Nina njaa mama

Ngacho gicho kie Nimechoka

Gayuja mae Nimeshiba mama

Ngicho nbeyo Nina baridi

Ngicho mrike Nina joto

maruwa maziwa
(Ruwa ina maana ya Mungu kwao katika kichaga ila hapa "maruwa" halihusiani na Ruwa)

memba mahindi

soko maharagwe

mbuya rafiki
 
Haya bwana lkn si wachagga wote haya maneno yanaeleweka kwao mf wamachame na warombo kibosho naamin haya yatakuwa sawa na kitendawili kwao
 
Haya bwana lkn si wachagga wote haya maneno yanaeleweka kwao mf wamachame na warombo kibosho naamin haya yatakuwa sawa na kitendawili kwao

na hata hao wanaoongea alichoandika.....watamwelewa kwa shida coz kachapia sana.....
 
Aseeee!!!
Jamani eeeh!!
Nani mnyakwusa hapa tuongee ...
Naona mbombo ngafu!!!
 
Ote lanye, jamaa chu nareko kidogo. Lakinyi makuro napaya mrima chu oko. Ruwa kompyuta ii ya wandu yemaefunjika!
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom