Maneno matamu unayoweza kumwambia unayempenda kwa dhati

Niamini tu Mpenzi wangu oooh niamini tu niko tayari kwa lolote hata ikibidi kufa, halafu juzi niliibiwa ATM Card yangu ila ningekupatia ile pesa ulioomba, haahhahaha ahakuna raha kama hiop
Nadhani maneno mengi matamu kwenye mapenzi ni ya uongo..
Mara nyingi ukweli ni mkakasi na haunogi kupigia sound..
 
Zile za sili, silali ajili yako .
alie kuumba kakupendelea na
Aliekuzaa nampa hongera.
Nikinywa maji , naona sura yako kwenye glass.
Nimekosaa usingizi Siku tatu nakuwaza wewe.
Na hakika hujazaliwa umeshushwa kutoka mbiguni.
Dada we ni mzuri na wasisi hata haja kubwa huendi sababu ni uchafu .
Nikikupata wewe ndio mwisho wako kukanyaga chini ntanunua mbeleko nikubebe kila mahali .
Etc..............
Mweeeehhhhh kutongozwa kuna raha jamani
Hata Kama kila neno ni la uongo..

hayo ukimwambia binti lazima akutoe nduki, labda uyaseme huku unafungua pochi.
 
Gosbert ukisema hajui utakuwa unam under estimate... Katika wajuvi yeye ni mmoja wapo na ndio mana nimeuliza ili walau na mimi nielewe pia upande wa pili wa shilingi. Kwamba kakurupuka na hajui anachochangia itakuwa sio kweli...

Hii "wajuvi" uliyotumia wewe ina maana gani hasa?

Maana sijaona uhusiano wa "kujua" na "ujuvi"
 
mkuu umenichekesha sana.
Umejuaje hawayamaanishi?

Kuna kuyaaminisha hapo kama unadesa Peri anachomwambia mkewe na wewe unatumia kwa wako?!

Si hasha mkeo akakuuliza "leo una nini?," maana mpangilio wa sentensi sio wako kabisa kabisa au umeyatamka katika mazingira yasiyokuwa sahihi

:bounce:
 
"Dear nimeikumbuka sura yako nzuri, umbo lako la kuvutia na sauti yako nyembamba ya mahaba na nimefikiria jinsi ulivyo mbali nami ghafla mwili umeishiwa nguvu. Hapa nilipo sijiwezi. Tafadhali njoo mpenzi uniinue kwa mikono yako laini na kuupoza moyo wangu. Njoo tafadhali".
 
Zile za sili, silali ajili yako .
alie kuumba kakupendelea na
Aliekuzaa nampa hongera.
Nikinywa maji , naona sura yako kwenye glass.
Nimekosaa usingizi Siku tatu nakuwaza wewe.
Na hakika hujazaliwa umeshushwa kutoka mbiguni.
Dada we ni mzuri na wasisi hata haja kubwa huendi sababu ni uchafu .
Nikikupata wewe ndio mwisho wako kukanyaga chini ntanunua mbeleko nikubebe kila mahali .
Etc..............
Mweeeehhhhh kutongozwa kuna raha jamani
Hata Kama kila neno ni la uongo..
umenifanya nitabasamu hapo kama ni barua na kadedication kamoja au viwili vya nelly,mr blue mapoz na ww hahahhaaaaaaaa those dayz jamani kha!
 
Na mie naombeni mnifundishe maneno matamu.

Rirz umenichekesha hadi machozi kweli unahitaji somo sio ukifika bed unaanza kumwambia mamsap mambo ya politic,yani nacheka i can imagine majibu yatakayokuja mana nyie wanasiasa
 
Hii "wajuvi" uliyotumia wewe ina maana gani hasa?

Maana sijaona uhusiano wa "kujua" na "ujuvi"

Ukinipa maana yake ambayo wewe watambua maybe na mimi hio statement yako itakuwa applicable kwangu... Maana yake nini Gaijin?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom