maneno katika t-shirt tunazovaa....

NG'ADA

Senior Member
Sep 2, 2011
152
15
....um a pregnant woman!!...kavaa mwana kaka mmoja...na jinsi yake fresh yuko zake mitaa ya mwenge!!
tusaidiane katika hili, sio kila mtumba unaokuja huku ni wa kununua tu,..nguo zingine zilikuwa zinatumika hospital za vichaa, na za kawaida...nguo zingine zilikuwa uniform katika masoko makubwa huko ulaya...sasa wabongo tunokota tu.
najua na ww umeona kadhaa!!...
 
Kuna mshika nilikutana nae juzi area za Mbezi.
Amevaa iliyoandikwa
"A VIRGINITY GIRL"
 
Mimi nina t-shirt yangu imeandikwa ''S.T.F.U BECAUSE I.D.G.A.F''

ninaipenda sana, naivaa nikiwa napita maeneo ambayo kuna maadui zangu au kama kuna watu wanapenda kuangalia ya watu.
 
duh..kumbe mm niliona madogo...XXXL mmekuja nazo wadau...uwiiiii!!!
 
si nyie mliosema kuwa elimu ni kwa ajili ya kutafutia kazi tu!? ...na bado
 
Nilikutana na mmoja amevaa Tee imeandikwa, "Your mum comes to college", halafu picha ikawa hiyo avatar yako Ng'ada!
 
"HEY GIRL......YOUR BOYFRIEND WANTS ME!" Ilinifurahisha sana hii, kuna mdada alikuwa ameivaa alafu ameongozana na mama yake!
 
Du ujue watu wa ulaya hawana mana kabisa mana utamaduni wao wanatuma sish leo nimekutana na jama kava t.shirt yake imeandikwa i like prositution
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom