Maneno haya ya zamani jamani yanikumbusha mbali!

1. Kaboka
2. Banzoka
3. Chacha- viatu vya wazi vya plastiki
4. Utanikoma saa sita- viatu vya plastiki
5. Umombo- kiingereza.
6 mambo kwa soksi- kutumia kinga
 
Na kwa wale wa mpira wa vipande vya nguo, magodoro au karatasi za nylon kulikuwa na
"Doso" Kupiga doso ni kupiga mpira kwa kidole gumba cha mguu. Doso haikupendwa kwani ilidhaniwa kuharibu mpira

Cc tukaiita dochi. Mengine ni kama singida dodoma, shega, gwala, dala, mbau, nyento na lakuchumpa lakupalama.
 
PEKOS
TIBABUU
BUGALOO
KISHTOBE
NGAWIRA
WOWOWO

na ya kisiasa
NYANG'AU
BEBERU
KABAILA
 
1.Gangwe,
2.mtoto wa danta(downtown) 3.ngebe
4.mselanondo
5.maumba nipishe
6.mchelemchele
7.
 
1.Kula kobisi
2.zalmenda
3.michael dudkof(america ninja)
4.komando kipensi
5.salandia
6.rexona,gardenia,yolanda,shanti,bodyline,tanbond,supergee pale Dom unavipata rtc au kwa bojan,kwa mwaluganje,kwa makaptura.hizo simema pale paradise enzi izo disco nk.
 
Kuja Dar(bongo) toka Dom usafiri ilikuwa kamata,siri yako,ze big mayai,panga la shaba,kaudo,zainabu,yarabi salama,halafu kule kijijini kwe2 basi la kijiji,duka la kijiji sukari,betri na kipande cha mbuni au mbunju kwa foleni
 
dole,
bunju (mbumbumbu)
mbumbumbu mzungu wa reli
zungu la unga
kitu na boksi,
kula huli utaishia kunawa
utakula kwa macho
denda
panki(mtindo wa kunyoa nywele)
twende kilioni, kilimanjaro, mdomo wa kuku, jicho la uke wenza (mitindo ya kusuka nywele)
besti (rafiki wa karibu),
boi (mfanyakazi wa nyumbani hasa kwa muhindi)
mamsapu (mke)
katitu (muziki wa Kenya)
ameachwa solemba
ameachwa kwenye mataa
kitoe (ondoka)
usilete gozi gozi,
kataa/kubali kiaina
Maimuna (mtu asiyejua lugha ya Kiingereza)
mesenja(messenger)
 
VIATU
skuna
kokoko
mokasi
chachacha
mwisho saa sita
safari buti
kata mbuga
loso
lambada
bata
D.H (raba)
nike
shuka tubonge
chipsi
bora (raba)
njumu

MAVAZI
pekosi
justi bikozi
pensi nyanya
maksi
kimini
tupaki (kilemba)
odemba (namna ya ufungaji kilemba)
kaunda suti
mshono sambusa
kitambaa cha sukari
kitambaa jinja
yondo sista
belti

bwanga
charanga (aina ya sketi)
mapliti
buibui (staili ya kunyoosha nguo hasa ktk shati)
taiti
jeki
form six
kata ngoko
 
NDATA -POLISI
WAMWERA- POLISI
GANJA- BANGI
JIKATE- ONDOKA
MAMA NTILIE
GWALA- SHILINGI TANO
DALADALA- ($1= Shiligi tano) nauli ya minibus sh. 5 wakati uda sh. 1 hivyo daladala= doldola
kuuchuna- kugoma/kukataa
kukauka- kukataa
Nyambilisi- ubaya
vingunge- watu wazito wenye madaraka
ZERO- Mjinga/mpumbavu
MANDELA ( Wliosoma boarding boys wanajua hilo)- punyeto
Kabwela- maskini
kutia- ya wakubwa hayo
kukata- ya wakubwa hayo
Uvinza-
Kitafunio ( Mambo ya ATB Mlimani)
infantria
Ngoma- HIV
 
Chelea pina
Unga robo
Mafeeling kibao
Pimbi
dingi
DH raba dada hadija
suruali za mchelemchele
cliper
shihata
Durex
Rexona
Pangu pakavu
Wowowo
 
Back
Top Bottom