Maneno "Haina Mashaka"

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Neno hili nimelifuatilia sana na nimegundua linatumiwa sana na wenzetu wahubiri wa Kiislam.

Mfano,,Dini ambayo "Haina Mashaka",,,,,,
Kitabu ambacho "Hakina Mashaka",,,,,,,
Sasa naomba kuuliza,,kwanini wanapenda sana kulitumia maneno hayo kuhalalisha wanachokisema?
 
Back
Top Bottom