M Mahmoud Qaasim JF-Expert Member Nov 3, 2007 923 264 Mar 19, 2012 #1 naombeni msaada wa hekima ya maneno haya kuwa maana fulani unapolidadavua neno na kupata maneno yenye maana tofauti.
naombeni msaada wa hekima ya maneno haya kuwa maana fulani unapolidadavua neno na kupata maneno yenye maana tofauti.
M Mahmoud Qaasim JF-Expert Member Nov 3, 2007 923 264 Mar 22, 2012 Thread starter #2 Maneno DADAvua na KAKAmua , siMAMA na kiBABA asili yake wapi?
M Mahmoud Qaasim JF-Expert Member Nov 3, 2007 923 264 Apr 13, 2012 Thread starter #3 bado nasubiri ufafanuzi toka kwenu waswahili wenza.
The Don JF-Expert Member Dec 2, 2011 3,499 1,163 Apr 13, 2012 #4 Naomba ukapitie upya hisotria na chimbuko la lugha
Shark JF-Expert Member Jan 25, 2010 29,458 29,151 Apr 15, 2012 #6 toghocho said: SISIemu nayo? Click to expand... SISImizi