Mandela is Seriosly Sick!

Ehud

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
2,685
337
January 26 2011
JOHANNESBURG, Wednesday


183603-01-02.jpg
AFP | NATION. Zindzi Mandela (left), the youngest daughter of former South African President Nelson Mandela shows him a letter at his home in Johannesburg on July 17, 2010 during celebrations of his 92nd birthday.



Nelson Mandela is in hospital for "routine" tests on Wednesday but his health is not in jeopardy, said the former South African president's foundation in a statement.

"He is in no danger and is in good spirits," the foundation said, confirming that he attended Milpark hospital in Johannesburg.


An AFP photographer saw Mandela's wife, Graca Machel, leaving the hospital at around 5:30 pm (1530 GMT), with four other family members departing shortly after. His personal assistant Zelda la Grange arrived at 6:00 pm.


The hospital declined to comment on whether the anti-apartheid hero would be staying in hospital overnight, saying it does not give information on patients as a matter of policy.


Mandela, South Africa's first black president, is increasingly frail and has not appeared publicly since the closing ceremony of the 2010 FIFA World Cup in Johannesburg.


After his withdrawal from public life in 2004, he created the Nelson Mandela Foundation, the Nelson Mandela Children's Fund and the Mandela Rhodes Foundation to continue humanitarian work on his behalf.



Daily Nation:*- Africa*|Mandela in hospital for 'routine' tests
 
Wana JF na wapenda harakati
habari za hivi karibuni kwa mujibu wa bbc ni kuwa mzee Mandela yupo hospitali na hali yake si nzuri
Ulinzi mkubwa umeimarishwa na watu hawaruhusiwi kumuona
Tamko la serikali na chama cha ANC ni kuwa anafanyiwa checkup lakini watu wanashangaa kwa nini ulinzi mkali na siku za nyuma akifanyiwa medical checkup mara nyingi hakukuwa na ulinzi hivyo.
Siku za karibuni Mzee mandela alikuwa anapoteza kumbukumbu akisahau watu na jambo aliloongea punde.
Tumuombee afya yake ipate afueni
 
Mzee aliyeshiba busara huyu!
Mungu wa mbinguni wajua yote juu yake...Nawe utatenda kwa jinsi ikupendezavyo.
Aamen.
 
mandela.jpg

Hali ya usalama imeimarishwa nchini Afrika Kusini huku kukiwa na wasiwasi mkubwa kuhusiana na afya ya aliyekwua Rais wa nchi hiyo Nelson Mandela.
Mandela alilazwa hospitalini siku ya Jumatano.
Polisi walishika doria wakati msongamano wa magari ukiongezeka kwenye jengo lililoko mjini Johannesburg na huku waandishi wa habari wakiendelea kumiminika nje.
Hata hivyo chama kinachotawala cha ANC kimetoa wito kwa raia wa Afrika Kusini kuwa watulivu.
Watoto wa shule wamepeleka ujumbe nje ya hospitali ya Milpark wakimtakia kila la heri.
Kiongozi huyo mashuhuri anayejulikana na raia wengi wa Afrika Kusini kwa jina jingine la Madiba, ameonekana akidhoofika kiafya anapojitokeza kwa umma.
Hata hivyo kiongozi huyo tangu ajiuzulu kutoka siasa mwaka wa 2004, hajakuwa akitokea hadharani sana.
Mara ya mwisho kuonekana hadharani ilikuwa kwenye hafla ya kufunga mashindano ya Kombe la Dunia, mwezi Julai mwaka jana.
Marafiki wake wa karibu wanaonya kuwa afya ya Mandela imekuwa ikizorota kwa kasi katika kipindi cha miezi michache iliyopita.
Hali yake ya afya imekuwa kivutio kikubwa kwa wanahabari na sasa polisi wanachunguza magari yanayoingia kwenye hospitali hiyo kuhakikisha kwamba hakuna waandishi.
Mkewe, Graca Machel pamoja na watu wengine wa familia yake walionekana wakiingia kwenye hospitali hiyo Jumatano usiku.
Msemaji wa chama cha ANC amesisitiza kuwa Mandela, mwenye umri wa miaka 92 si kijana tena na hivyo atapatwa na maradhi yanayoambatana na umri wake lakini akaomba watu kutokuwa na hofu yoyote.
:sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad: :sad:

source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2011/01/110127_mandela_afrika_kusini.shtml


 
Nime connect thread zote za hali ya afya ya Mandela wakuu. Mtu yoyote akiwa na any updates naomba atundike humu badala ya kuianzishia thread mpya. Thanks wakuu. Mungu akujalie mzee wetu Mandela.
 
Lets all prey for Mandela. He is not only one of the few really unselfish statemen of the world but he is also a stabilising factor for South Africa and the rest of the continent
 
Ninachowasifu wenzetu wa sauzi ni kuwa viongozi wao hutibiwa makwao...........................siyo kama hawa wa kwetu hukimbilia matibabu nje kukithibitisha hawana imani na hospitali zetu hapa nchini............................na kwa kufanya hivyo walitusababishia huduma za mahospitali kuwa hafifu......................kwa sababu wa osiyo waathirika na huduma mbovu......................
 
Mandela hospitalized in Johannesburg

Last Updated: Thursday, January 27, 2011 | 2:17 PM ET


The Associated Press


tp-nelson-mandela-cp-rtr2gb.jpg

Former South African president Nelson Mandela, shown at Soccer City stadium during the 2010 World Cup in Johannesburg in July, was in hospital Thursday for medical tests.

(Michael Kooren/Reuters)

Former South African president Nelson Mandela was in the hospital in Johannesburg on Thursday for what his office said were routine tests.
The 92-year-old anti-apartheid icon undergoes regular hospital checkups. But his latest visit starting Wednesday stretched into an unusually long overnight stay, drawing extraordinary media attention.

Journalists were standing outside Milpark Hospital Thursday, watching relatives and friends enter for visits and awaiting more details on Mandela's condition, but no further information was released.

On Thursday, the Nelson Mandela Foundation had not changed its Wednesday statement that he had been admitted for routine tests and was in good spirits, drawing criticism from some quarters that the silence was fuelling speculation.

Earlier on Thursday a convoy of at least 20 vehicles had arrived at Mandela's house in a Johannesburg suburb. A military vehicle with military officials was also seen driving away from the house.

The Department of Defence and Military Veterans is responsible for the health requirements of former presidents.



 
Aliyekuwa rais wa africa kusini huru,na mmoja wa mashujaa wa africa NElSON MANDELA,amelazwa katika hospital ya Milpark huko africa kusini,
source bbc
 
Ni kweli Nelson Mandela amelazwa hospital for 'Routine' checkup! Not in danger , . May the Lord God bless him. Amen
 
Ee Mungu tunakushukuru kwa Mzee wetu Mandela, tunamuombea afya uponyaji. Mapenzi yako ee Mungu atimie.
 
Back
Top Bottom