Mandela akimbizwa hospitali....

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225

Former South Africa President Nelson Mandela has been taken to hospital.

Officials said he was suffering from a "long-standing abdominal complaint" which doctors felt needed "proper specialist medical attention".

The 93-year-old statesman has suffered declining health in recent years.

South African President Jacob Zuma's office said the "love and good wishes of all South Africans and people throughout the world" were with him.

He asked for Mr Mandela and his family to be given privacy.

Mr Mandela retired from public life eight years ago and now rarely makes public appearances.

BBC News - Nelson Mandela taken to hospital with abdominal complaint
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ab,

Im super proud of this wise and humble man, God bless you Madiba
 
Nelson Mandela amelazwa katika hospitali moja nchini Afrika Kusini baada ya hali yake ya afya kudorora na kuhitaji uangalizi wa karibu wa madaktari. Hata hivyo Rais Xuma amewatoa hofu wananchi wake kuwa mzee anaendelea vema walau kwa sasa. Tujumuike kumuombea apate ahueni ya haraka
 
I buy your books whenever and wherever I find them... LONG WALK TO FREEDOM & CONVERSATION TO MYSELF...
 
Mwenyezi Mungu awe nawe mzee Madiba
Mzee Madiba ni mfano wa viongozi Africa ambao haijawahi kuwa nao.
 
pole kiongozi wetu pekee wa afrika liyechaguliwa na waafrika,ukafanyakazi kwa maslahi ya waafrika waliokuchagua.pole sana babu
 
Mzee huyu anastahili kupumzika sasa amaifanyia afrikakusini makubwa mwenyezi Mungu atamlipa na kumrehemu.
 
Former South Africa President Nelson Mandela has been taken to hospital.

Officials said he was suffering from a "long-standing abdominal complaint" which doctors felt needed "proper specialist medical attention".

The 93-year-old statesman has suffered declining health in recent years.

South African President Jacob Zuma's office said the "love and good wishes of all South Africans and people throughout the world" were with him.

He asked for Mr Mandela and his family to be given privacy.

Mr Mandela retired from public life eight years ago and now rarely makes public appearances.

BBC News - Nelson Mandela taken to hospital with abdominal complaint

kila siku unaibuka uvumi kuwa jamaa kafariki aisee da ...get well soon Mr Mandela
 
Madiba Mungu akupe afya na kukupa maisha marefu zaidi ya hayo
Get well soon Madiba
 
Back
Top Bottom