Mancini na Sir Alex Ferguson wazichapa uwanjani

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
519
Aisee hivi hawa jamaa wakizichapa nani ataibuka kidedea maana wAlishikana mashati kukunjana na fergie alishakunja ngumi kukosa wale wAtu wa security tungeshuhudia na mechi ya bure.Mancini alimwambia Ferguson mshamba wewe na tumewafunga leo ndo jamaa akadata!!
 
Mimi nitaibuka kidedea!!

Ferguson ana frustration za unexpected results! He has to understand football is the game full of surprises!
 
He maneno waliyorushiana ni makali mancini anaoogopa kuya taja isije ikawa ms**/e wewe *u***ma wewe!!
 
Ferguson amesema mancini alimtusi ndo mana akamkunja na anadai kuwa angemshikisha adabu ashukuru walinzi!!source:S3
 
Aisee hivi hawa jamaa wakizichapa nani ataibuka kidedea maana wAlishikana mashati kukunjana na fergie alishakunja ngumi kukosa wale wAtu wa security tungeshuhudia na mechi ya bure.Mancini alimwambia Ferguson mshamba wewe na tumewafunga leo ndo jamaa akadata!!

kwanza badilisha kauli yako.kichwa cha hbr na maneno yako yapo tofauti.utawadanganya wale ambao hawajaangalia game?
 
Kulikuwa na bango moja uwanjani likiwa na Picha Mancini akipiga kelele huku Fergie, Alex akiwa ameinama ameshika kichwani. Bango hilo lilisomeka hivi "Noisy Neigbhours are getting Louder Alex". Bango hili limenifurahisha sana hasa baada ya kuona varangati ya Alex akimuonyesha Mancini kuwa ni Mpiga Kelele.

Ila kama Alex hatakuwa makini aisee hao majirani zake watavunja ngoma za masikio yake.
 
kwanza badilisha kauli yako.kichwa cha hbr na maneno yako yapo tofauti.utawadanganya wale ambao hawajaangalia game?
Amekurupuka ka amekalia kijiti,mwambie akajipange mkuu!
 
I tried, I missed, but there is tomorrow out there nitawapiga 2 hao City! Hayo malumbano kati ya Alex Ferguson na Mancin ni upepo 2 utapita ila kipigo du... Nipeni pole mwenzenu.
 
wapiga kelele wamemnyamazisha fergie mzee wa bahati na formula zisizokuwepo..

kompany 1 - 0 united
Bado wanyamazishwe na Simba weeked hii ili mji uwe tulivu zaidi maana hii mitimu inayovaa mijezi miyekundu ni timu zenye washabiki wenye kelele na karaha.
 
Back
Top Bottom