Manchester vs Chelsea Jan 2009

Mechi ni kali sana na speed si ya kawaida. Nimeshangazwa sana na uamuzi wa Scolari wa kumuacha leading scorer wa Chelsea Anelka kwenye bench, labda ni majeruhi vinginevyo kocha amefanya kosa kubwa sana. Mechi muhimu kama hii unamuweka leading scorer wa timu yako kwenye bench!? Rooney anastahili kuwa na kadi ya njano lakini Refa naona anaona aibu au kuogopa kumpa yellow card
 
Man wamebahatisha 1 - 0 ya Chelsea. Tutarudisha na kuwatandika 2 - 1. Bado nina matumaini makubwa tu!

Half time ikiisha tunao tu

Invisible,

Maswala ya kubahatisha yatabaki hapa kwetu kwa simba na yanga.

Leo The blues hamtoki hahahaha...
 
Invisible upo wapi???

Red devils sometimes wananipaga raha sana...

Kuna mtu alinishaniuzi saaana leo, game likiisha na haya matokeo nae
nimemsamehe...
 
Mmh, hiki kisago kinaweza kikaotesha nyasi kwenye kibarua cha Scolari, Abramovich hacheki na kima. Pole kaka Invisible, money cant buy you trophies!!
 
Mmh, hiki kisago kinaweza kikaotesha nyasi kwenye kibarua cha Scolari, Abramovich hacheki na kima. Pole kaka Invisible, money cant buy you trophies!!

You're 100% right. I don't know what he was thinking by leaving Anelka on the bench during the 1st 45 minutes.
 
Duh! That is a reminder to Chelsea and a clear message to Benitez, that Man utd are THE reigning champions! Poleni mlioguswa!
Kipigo kama hiki, kama ni demu kabakwa tena kinyume! Hhhaaa hhaaaa!
 
Nimefurahi sana Chelsea kufungwa tean MATATU. Matatu kwa 0! Au Chelsea wameonewa? Heheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nimefurahi sana Chelsea kufungwa tean MATATU. Matatu kwa 0! Au Chelsea wameonewa? Heheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Refa alikuwa anapendelea man utd hhaaahaa aaahhaaa aaaaaaaa!

Na hata hivyo, it's clear man utd wamebahatisha!

Poleni Chelsea-- na Liverpool mliokuwa mnaomba droo!
 
Muda si mrefu kutakuwa na pambano baina ya

images

na

images

Mimi kama mpenzi wa Chelsea FC naamini leo tunawabwaga vibaya Man Utd nyumbani kwao... Let's keep them updates running :) here!

Leo tunawalowesha :) :) :)

Kumbe ulitakiwa kusema tunaloweshwa. Au Kiswahili kinakusumbua? Heheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Refa alikuwa anapendelea man utd hhaaahaa aaahhaaa aaaaaaaa!

Na hata hivyo, it's clear man utd wamebahatisha!

Poleni Chelsea-- na Liverpool mliokuwa mnaomba droo!

Wamebahatisha!!!!!!!!!!! Unamanisha hawakusitahili? hahaaaahaaaaaaaaaaaahaaaaaaaa. matatu, wamebahatisha? Heheeeeeeee
 
Mkuu Invisible upo? au umeshakwenda kulala?
Wakuu wapenzi wa Man U, nimekubali... Mmetuzidi soka leo. Ila possession ilikuwa ni 50% kwa 50% tu.

Pengo la Essien nimeliona leo rasmi.

Roho inaumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Sijalala mwanangu... Roho inauma tu.

Hongereni wakulu
 
I like the way you have written, Big up sana Mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom