Manchester Utd vs Arsenal UEFA Champions 09

Historia inaeleza kuwa Arsenal haijawahi kufuzu semi finial kwa kuishinda timu ya England na Man United haijawahi kutolewa CL na timu ya England. Hiyo ndo historia sasa ni 3:0 ili Arsenal asongembele lazima apige goli 5 na kwa mchezo huu almost impossible.

....aaaarrggghhhhh, hakuna cha historia wala nini! halafu hakuna aibu yeyote hapa,....nyie mnasikiliza au mnauangalia huu mpira?

ARSENAL leo tumezidiwa kila idara kimpira mpaka kwenye benchi la reserves! kuna cha aibu hapo? ...am enjoying the moment, kuna wengi walitu count out hata kwenye Quarter finals walijua hatutapita!
 
Historia inaeleza kuwa Arsenal haijawahi kufuzu semi finial kwa kuishinda timu ya England na Man United haijawahi kutolewa CL na timu ya England. Hiyo ndo historia sasa ni 3:0 ili Arsenal asongembele lazima apige goli 5 na kwa mchezo huu almost impossible.

Goli 5 hehehe, kwani kipa wetu ni Fabianski au tumekuwa Tottenham? Surely Arsenal couldn't have played in the finals kwa kweli. Becks kaja kushuhudi mauaji sio.
 
Masa my dear!
Thanx for your support leo, kesho tutashangilia wote ze bluez ila Messi simtoi na nitamshangilia akigusa mpira..Cheers
 
Goli 5 hehehe, kwani kipa wetu ni Fabianski au tumekuwa Tottenham? Surely Arsenal couldn't have played in the finals kwa kweli. Becks kaja kushuhudi mauaji sio.

... aloo, unajidai nawewe ARSENAL sasa? acha maskhara bana, wenzio tunafungwa hapa! :mad:
 
No worries my Sweet heart...tukifungwa ushishangilie kwa nguvu!

I will definitely not do that!..Leo ndo leo,raha ya ushindi kushangilia maana hauji kila siku kwenye mechi muhimu kama hizi!..Mkifungwa will re-think about Messi's snap my dear..
 
Nahisi naumwa kichwa huena kesho nikawa siko online, hehehehehehehe

Mmmh!Unataka kukimbia,dalili zinaonesha..Pole ya kuumwa kabla ya mechi.

Hata usipoingia kesho,next day utakuwa mjadala jamvini itabidi ujibu tu!

Lazima uumwe,Barca siku ile waliwazungusha sana!Anyway,hatuwezi jua labda kesho mambo yakawa tofauti..
 
Hahaha vipi kuna JF maintenance ya kufa mtu kesho mida kama hii?

....ha ha ha haaaaaaa,....thanks Icadon, imebidi nicheke tu pamoja na kipigo cha 'mbwa mwizi' mlichotupa leo!
 
Exaud umelala kweli!..

Toa dukuduku lako utafute usingizi, sijui kama utalala pia maana full mawazo mpaka asubuhi..
Icadon na mimi tulikwambia, ukaona hamna kitu hapo! Leo ndo utawajua Man Utd wakishinda inakuwaje, he he
 
Hivi kuna mtu alitarajia Manchester (1) kutolewa na Arsenal (4)? Atakuwa alikuwa anajitakia kupandisha pressure.
 
Hivi kuna mtu alitarajia Manchester (1) kutolewa na Arsenal (4)? Atakuwa alikuwa anajitakia kupandisha pressure.

Mechi ya kwanza watoto wa Mr. Bean walikuwa na bahati, naona leo walikuwa wanakaa kitako tena wakisubiri tena bahati badala ya kucheza soka..

Nawasikitikia sana wale jamaa walokuja na mabango ya "We trust in Mr.Bean", alidai timu itakuwa kali lakini lol..Kweli Mr.Bean ni Mr.Bean tu..
 
...we acha tu. Hata hivyo wamejitahidi bro, nani aliwapa chance arsenal kufika nusu fainali ya Champions League mwaka huu? We were completely outsiders.... only luck was on our side, plus Mr. Bean! :D
 
Duu poleni sana ARSENAL maana mnaongea sana kuliko vitendo.....MAN U wanachezea uzoefu wao sio nyinyi....kwanza hatuwezi kufungwa na watoto.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom