Manchester United will compete AUDI CUP 2009

Bontowar

JF-Expert Member
Feb 21, 2009
520
52
Mwaka wa Man UTD huu kombe la 6 kushiriki latakalochezwa July 29/2009
zimechakuliwa timu 4 bora za dunia itachukua siku 2

1-Borca Junior
2-Ac Milan
3Manchester United
4-Bayern Munich

Man VS Borca na Bayern Vs Ac Milan
 
Hapo wanapambanishwa Mabingwa wa Ulaya. Man Utd na Mabingwa wenzao wa Amerika ya Kusini. Boca junior,AC Millan na Buyern Ni Wadhaminiwa wa Audi Co. Wanavaa Jezi Zao Audi, Opel nk. Nadhani ni Michuano isiyo na hamasa ya kutosha, Hata Emirates nao Walishaanda huko nyuma. Arsenal(eng)SV.HumbuRG(Grm)..walishiriki
 
Mi sijaelewa vizuri naomba nieleweshwe kidogo. Kama Man U ni mabingwa wa Ulaya na Borca J ni mabingwa wa America kusini vipi hawa washindani wengine ni mabingwa wa wapi?
 
Back
Top Bottom