Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
Bastian ndiyo wamemsula kabisa?!
Bastian ndiyo wamemsula kabisa?!
NdioBastian ndiyo wamemsula kabisa?!
hahaaaaa.................na wako kimya.
hahahahahah
Mkuu utd kushinda ile game ilikua muhimu sana kwetu, 1st kurudisha confidence and kupunguza pressureBest revenge at wrong place wrong timing sio nyie mlisema kikombe cha kuku hiki
W DDDD L L L W D L W D LL D LMkuu utd kushinda ile game ilikua muhimu sana kwetu, 1st kurudisha confidence and kupunguza pressure
Ndio maana humu huja kushinda watu mbalimbali utadhani hawana makwao go go go man unitedHii timu inapendwa sana jamani, jana nimepita sehemu watu wanajadili kuhusu United yaani you can feel the real love. We win together, lose together bcoz we are UNITED.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
We jamaa ni mlinzi tosha kabisa humu nyumbani kwetu 24hrs upo lindoni tu hata wenyew tukisafiri mwezi mzima...W DDDD L L L W D L W D LL D L
Ze duduWe jamaa ni mlinzi tosha kabisa humu nyumbani kwetu 24hrs upo lindoni tu hata wenyew tukisafiri mwezi mzima...
inabidi tukuongezee mshahara aisee
Naona tumeshapata maripota wa habari za manchester
Sio mbaya, acha waje tu dada everlenk pamoja na sister watawaandalia chochote.Wako wengi,wanafanya kazi usiku na mchana kutuletea habari za timu yetu.
Sio mbaya, acha waje tu dada everlenk pamoja na sister watawaandalia chochote.
Tuwalipeni tu mishahara maana hakuna namnaNaona tumeshapata maripota wa habari za manchester