xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,065
- 5,890
Naikumbuka chief, ila wenyewe wamesahau wanaikumbuka ya martial tuUnaikumbuka €35 ya Andy carrol?
Naikumbuka chief, ila wenyewe wamesahau wanaikumbuka ya martial tuUnaikumbuka €35 ya Andy carrol?
Hawa watu wamepotea kweli martial anafanya mambo yanaonekana hatujapoteza ni yale mambo ya uingereza kupenda vya kwao akitokea mchezaji ana kipaji basi watampamba hapo na anakuwa ghali kweli.Naikumbuka chief, ila wenyewe wamesahau wanaikumbuka ya martial tu
Rooney ndo kaniboa et aliona haez ku m vote goalkeeper
Smalling kachukua tuzo ya mchezaji bora wetu msimu huu y not De Gea
Rooney c anajikuta baba mwenye timu wachezaji wa uingereza ndo wapo ivyoRooney ndo kaniboa et aliona haez ku m vote goalkeeper
Cjui ana fakilia makalio uyu dogo!!
De gea au martial ndo iltakiwa wapate
AaahRooney c anajikuta baba mwenye timu wachezaji wa uingereza ndo wapo ivyo
Kweli kabisa De gea anatusave japo wanasemaga ndo kazi ya golikipa ila yeye afanya zaidi juhudi na uwezo binafsiAaah
Kanikera kweli bora ata asnge ongea mkuu
Maana bila de gea c tungekuwa jiran na watford au chelshit
Hiyo tuzo amechukua David de Gea. Smalling amechukua
Smalling kachukua tuzo ya mchezaji bora wetu msimu huu y not De Gea
cc: MosDef02/05/1993, Peter schmeichel wins Premier League title
02/05/2016, Kasper Schmeichel wins Premier League title
Liverpool last won the league in 1990, so that means, Peter Schmeichel won the league and had a son who also won the
league.... and Liverpool still haven't won it.
Schmeichel's 2-0 liverpool.
But they are still finding the right manager and right players for their shit club.
Mwanangu akija shabikia Man u namfukuza nyumbani siwez nikaishi na Devil
Zile enzi za kina barnes na Bruce yule mzimbabwe kina rush kurudi sio mchezo.02/05/1993, Peter schmeichel wins Premier League title