BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
Mechi ya jana ilinikata stimu kweli. Man U sijui vipi.
Belinda baada ya Ferguson kuondoka na wewe ukaondokaMechi ya jana ilinikata stimu kweli. Man U sijui vipi.
Umeongea ukweli mtupu Mourinho kuja Man United ataharibu Timu. Pia nahofia wachezaji wengi kutolewa kwa mkopoNdugu yangu Mourinho ni janga lingine ikiwa manchester watataka mafanikio ya muda mrefu ni bora Giggs apewe mikoba kuliko Mzee wa kupaki bus defensive tactics lingine wachezaji wa kikosi cha pili ndio utakuwa mwisho wao nitajieni ni chipukizi wangapi Mourinho kawapa nafasi tangu akiwa Chelsea,Intermilan & Real Madrid ?.Van Gaal kawapa nafasi madogo wengi sana kuliko team zote za EPL.Ingekuwa mimi na maamuzi still Van Gaal angemaliza mkataba wake 2017 halafa Giggs anachukua mikoba yake.
Domourinho anakuja kupaki treni OT?.....Binafsi simpendi lkn km akija Man Utd Hakuna jinsi itabidi TUMKUBALI TUUmeongea ukweli mtupu Mourinho kuja Man United ataharibu Timu. Pia nahofia wachezaji wengi kutolewa kwa mkopo
Naomba asije kabisa ila ikitokea hatuna jinsi. Ngoja tuone itakuajeDomourinho anakuja kupaki treni OT?.....Binafsi simpendi lkn km akija Man Utd Haruna jinsi itabidi TUMKUBALI TU
Ana % kubwa za kuja..Naomba asije kabisa ila ikitokea hatuna jinsi. Ngoja tuone itakuaje
Ndo kilichobaki hichoAna % kubwa za kuna..
Just wait !!!!!
Belinda baada ya Ferguson kuondoka na wewe ukaondoka
With LVG u never know which UNITED will turn up!FA Cup has to be taken seriously at OT this season.
#LetsDoThisUnited
Ndugu yangu Mourinho ni janga lingine ikiwa manchester watataka mafanikio ya muda mrefu ni bora Giggs apewe mikoba kuliko Mzee wa kupaki bus defensive tactics lingine wachezaji wa kikosi cha pili ndio utakuwa mwisho wao nitajieni ni chipukizi wangapi Mourinho kawapa nafasi tangu akiwa Chelsea,Intermilan & Real Madrid ?.Van Gaal kawapa nafasi madogo wengi sana kuliko team zote za EPL.Ingekuwa mimi na maamuzi still Van Gaal angemaliza mkataba wake 2017 halafa Giggs anachukua mikoba yake.
Hehehehe mkuu umeongea kitu ya maana sana wallah tutammiss sana master passesNatamani kama Carrick angekuwa na miaka 25 kwa kiwango alichonacho angeinufaisha utd sana.
For what experience you have to judge football coach like that, mpira wa jf doesn't give u a credit to point out what iz not goodness in morinho to fit in man united my friend, u neither a professional player nor a professional coachSijui hata waliwaza nini kumuajiri Morinho?
Huyu sio class ya United.
U need mourinho kwaajili ya mafanikio ya muda mfupi na sio kujenga timu ya muda mrefNdugu yangu Mourinho ni janga lingine ikiwa manchester watataka mafanikio ya muda mrefu ni bora Giggs apewe mikoba kuliko Mzee wa kupaki bus defensive tactics lingine wachezaji wa kikosi cha pili ndio utakuwa mwisho wao nitajieni ni chipukizi wangapi Mourinho kawapa nafasi tangu akiwa Chelsea,Intermilan & Real Madrid ?.Van Gaal kawapa nafasi madogo wengi sana kuliko team zote za EPL.Ingekuwa mimi na maamuzi still Van Gaal angemaliza mkataba wake 2017 halafa Giggs anachukua mikoba yake.
Mkuu José is what we need right now, kuna watu may be wanakua na chuki binafsi tu na mou, watu wanalalamika kuhusu young player lakini wamesahau varane alipewa namba mbele ya pepe, kuna morata, zouma na hata ballotel waliweza kupangwa na kuaminiwa,U need mourinho kwaajili ya mafanikio ya muda mfupi na sio kujenga timu ya muda mref
Otherwise umpe masharti hayo so either way we need him right now lasivyo tutaanza kupiteza wadhamini sasa we cant afford kutokua mabingwa for next two years ni hatari kwa marketing ya man u
Ukisema hakuna youth waliokuzwa na mourinho unakua unakosea sana mkuu angalia nani aliwanunua wakina atsu,zouma n baba rahman kwa chelsea
Calejon,verane n the likes of jesse and jorge casado
Mariga,santon,baloteli and autonovic otherwise haumfuatilii vyema
But we need his likes believe me
Ndugu yangu Mourinho ni janga lingine ikiwa manchester watataka mafanikio ya muda mrefu ni bora Giggs apewe mikoba kuliko Mzee wa kupaki bus defensive tactics lingine wachezaji wa kikosi cha pili ndio utakuwa mwisho wao nitajieni ni chipukizi wangapi Mourinho kawapa nafasi tangu akiwa Chelsea,Intermilan & Real Madrid ?.Van Gaal kawapa nafasi madogo wengi sana kuliko team zote za EPL.Ingekuwa mimi na maamuzi still Van Gaal angemaliza mkataba wake 2017 halafa Giggs anachukua mikoba yake.