Manchester United kuna mapungufu gani mpaka tunafungwa?

Kocha anababaika kupanga kikosi, baada ya kufungwa na man city kabadili kikosi, pia pogba anatakiwa acheze mbele sio namba 6 na Rushford asiwe anaanzishwa awe anaingizwa kipindi cha pili
 
kwani ni manchester united pekee iliyonunua mchezaji kwa bei ghali akafeli? unaijua rekod ya anelka kwa wakat ule inamtoa arsenal kwenda madrid? mmekomaa na pesa ya pogba wakat huo manchester imetangaza ongezeko la club faida ya £68 15/16 bado wataendelea kununua wachezaj had timu yao itakapo kaa sawa pogba sio inshu ila ni inshu kwa timu zingine ndani ya man u hawajaathirika hata kidogo kafeli kisoka pesa yao kairudisha kwenye jez na bado ni mchezaj wa manchester united hapo hasara iko wap kipesa?
pole umeongea kwa uchungu
pigaaaaaaaaaaa mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mourinho amefikia ukomo wa kipaji chake, ndio life cycle ilivyo, isitoshe timing ya ujio wake traford haikuwa sahihi baada ya kutimuliwa Chelsea, he is on the decline mode; na hii kufungwafungwa mapema hivi ataingia kwenye panic mode akianza kuzongwa na mashabiki wa MUN, ndio kabisaa atavurugikiwa! Lets hope he can turn the corner as soon as possible kabla bundi hajamuandama! Best wishes mashabiki wa MUN, msikate tamaa, it is still early in the race for the title. Sisi na Mpare wetu Arsene Wenger, mambo sio mabaya, so far so good.
Hii club mi nataka iwe kama Fulham au Leeds United ! damnnn !
 
1474263719761.jpg
 
Nimeelewa kwanini makocha ndo huwa wanafukuzwa badala ya wachezaji, mimi I would say tatizo kocha, simply put.
 
Back
Top Bottom