Manati

Enzi zangu nilikua nawinda sana wale ndege jamii ya VITORONDO! kwakutumia huo mtambo.
 
Kaka nimekosa kibatan cha like,lakini kwenye ulimbo umeongea.Mimi kipindi cha manati sikuwa na shabaha kabisa basi nikawa natega ulimbo wangu wanaponywea maji.Nilikuwa nawakamata hata mwenye manati hanifikii....

Shida yote ya kulenga ya nini?
We weka ulimbo kwenye tawi wanalopenda, na kumbikumbi wazima, ushanasa kitoweo!....lol!
Ulimbo hata sisi wadada ulikuwa unatutoa sana, lol!
 
Mkuu kama unakumbuka, Kinondoni yote ilikuwa Mashamba, Ubungo ndio pori kabisaaa, Mkuu kweli una memory kubwa sana.


Umenikumbusha wakati Upanga lilikuwa pori la karibu kutokea Mchafukoge! Mbezi beach ilipokuwa shamba la Mkonge na watu wakienda kuwinda swala na digi-digi. Si zamani sana ni 60's tu!

Aisee, mmekula chumvi nyingi
 
ebana eeeh hiyo manati imenikumbusha mbali sana. enzi hizo mikocheni pande za flats za TPDC kulikuwa mapori tu. basi masela tulikuwa tunaenda kuwinda vitongwa, shorwe, vitwitwi, na tetere. baaab kubwa.
 
388053_469418049743569_417954787_n.jpg

dah....kipago imara sana......ila tumetofautiana kweli katika uwindaji......
mimi nilikuwa natega ungo....nausimamisha na kijiti halafu hicho kijiti nakifunga kamba ndefu......naweka na mchele chini ya ungo natulia.....
mpaka leo nimekuwa professional hunter kwa njia hiyo.....
 
dah....kipago imara sana......ila tumetofautiana kweli katika uwindaji......
mimi nilikuwa natega ungo....nausimamisha na kijiti halafu hicho kijiti nakifunga kamba ndefu......naweka na mchele chini ya ungo natulia.....
mpaka leo nimekuwa professional hunter kwa njia hiyo.....



Hii ya ungo naikubali njiwa wa kina nanihii walinikoma nikitoka shule tu wapi ungo wangu............
 
ile mipira ya dripu ndio mizuri kwa manati
inavutika sana. na hutumii nguvu nyingi.
 
hii sasa ndo size ya silaha1 kwa kupigana na malawi! izi takataka zingine sijui ndege,bunduki,bomu n.k tunaweka pembeni
 
Siyo kwamba tunafanana bali kwa jinsi zomba anavyojibu hoja mbalimbali sikutegemea awe na umri.
Nadhani huo ni ujumbe tosha kabisa kwa wanaJF wote humu jamvini. Tunashukuru umetukumbusha kumbe kuna watu humu ni wakubwa kiumri lakini michango yao ni midogo kiumri.
 
Back
Top Bottom