Manati

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
388053_469418049743569_417954787_n.jpg
 
Umenikumbusha wakati Upanga lilikuwa pori la karibu kutokea Mchafukoge! Mbezi beach ilipokuwa shamba la Mkonge na watu wakienda kuwinda swala na digi-digi. Si zamani sana ni 60's tu!
 
Mkuu kama unakumbuka, Kinondoni yote ilikuwa Mashamba, Ubungo ndio pori kabisaaa, Mkuu kweli una memory kubwa sana.
 
vitoto vinawish vingekua vikubwa
 
Umenikumbusha wakati Upanga lilikuwa pori la karibu kutokea Mchafukoge! Mbezi beach ilipokuwa shamba la Mkonge na watu wakienda kuwinda swala na digi-digi. Si zamani sana ni 60's tu!

Mkuu kama unakumbuka, Kinondoni yote ilikuwa Mashamba, Ubungo ndio pori kabisaaa, Mkuu kweli una memory kubwa sana.

Kumbe ninyi ni watu wazima hivi?
 
Ha haa haaa.. mshkaji kanukumbusha mbali sana. Kweli watoto wa .com wanakosa mengi. Nakumbuka ulikuwa ukipiga ndege inapaka damu kwenye ncha za vipago eti ni zindiko la shabaha. Kaptula zote zilikuwa zinatoboka mifuko kwa ajili ya kuweka mawe.
 
Dah...memories..ingawa mm sio wa juzi (60's) ila tulitumia sana manati...jamani dem gud old days...
by Mtoto wa jana (80's).
 
lol, kweli wewe ni mbuzi mzee,
kama 60's sio zamani wakati mie wa 80's najiona wa enzi.
 
Shida yote ya kulenga ya nini?
We weka ulimbo kwenye tawi wanalopenda, na kumbikumbi wazima, ushanasa kitoweo!....lol!

Kaka nimekosa kibatan cha like,lakini kwenye ulimbo umeongea.Mimi kipindi cha manati sikuwa na shabaha kabisa basi nikawa natega ulimbo wangu wanaponywea maji.Nilikuwa nawakamata hata mwenye manati hanifikii....
 
Nakumbuka enzi hizo, Dogo m1 aligeuza na kuvuta kigozi mbele..kilichofata hapo kila mtu alielekea upande wake kw kukwepa ushahidi.
 
Ha haa haaa.. mshkaji kanukumbusha mbali sana. Kweli watoto wa .com wanakosa mengi. Nakumbuka ulikuwa ukipiga ndege inapaka damu kwenye ncha za vipago eti ni zindiko la shabaha. Kaptula zote zilikuwa zinatoboka mifuko kwa ajili ya kuweka mawe.

Kama vile tulikuwa wote kuwinda ndege
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom