mwerevu mwenye busara
Senior Member
- Oct 23, 2016
- 144
- 91
Pata mananasi safi direct kutoka shambani. Kuanzia mananasi 500 unaletewa ulipo kwa gharama nafuu za usafiri.
toa oda yako sasa
toa oda yako sasa
Bei ya jumla sh.900weka bei
Wewe unapatikana wapi? Halafu mbona bei yako kubwa Mkuu? Huku mtaani tunauziwa rejareja kwa 1000 Tsh. kwa nanasi mojaBei ya jumla sh.900
Hiyo ni bei baada ya kuletewa mjini kabisa ila unaweza ukayafata shamba lipo kiwangwa chamazi utayapata kwa bei ya sh.600 na usafiri ni juu yakoDalali Huyo
Wewe unapatikana wapi? Halafu mbona bei yako kubwa Mkuu? Huku mtaani tunauziwa rejareja kwa 1000 Tsh. kwa nanasi moja