Manaja tanesco songea mbona hueleweki au tumwombe waziri aje kukukagua?

Aman Ng'oma

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
954
510
Toka umetangaza mgao wa umeme kutokana na kuharibika jenereta,tunashindwa kuelewa mgao wako kama kweli jenereta limeharibika au ni mwendelezo wa ufisadi kwani mgao wenyewe unaonekana unaendeshwa kiubaguzi,tuna mashaka kama umepewa rushwa ni bora useme.kuna maeneo umeme haukatiki kabisa lakini sisi wengine mfano watu wa matogoro,makambi na mateka leo siku ya tatu hatupati umeme shida ni nini?bili ya umeme ni ile ile.acha hizo nchi haiendi hivo,unategemea tunaishije?
 
Back
Top Bottom