manaibu waziri wawasha moto

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Naibu waziri wa tamisemi bw aggrey mwanri leo kawa mbogo kwa uongozi wa h/w chato kwa kuanzisha majosho katika eneo ambalo halina maji wala wafugaji jamaa alikuwa akirikaruka kama jogoo kidogo amkunje DED na akampiga kibao na kutoa siku 14 awe amewaleta wafugaji wa kutumia majosho hayo na maji ya kutumika.Ishu kama hii tena Bw Malima Adam naibu wake na Ngeleja nae kawaka mbogo ile mbaya kwa watendaji wa bomba la TAZAMA mkoani moro kwa kuzembea uvujaji wa mafuta uliopelekea wananchi kukosa maji safi na kuanza kuchota mafuta hayo kwenye maji jamaa kaongea hadi akataka kupanda juu ya meza bahati wazee walimtuliza akawaambia kuwa wote waliomchezea atakutana nao Dar. Natoa pongezi kwa utendaji huu wa hawa mawaziri wadogo na wakimbize hivyo hivyo wataukwaa uwaziri mkubwa soon hatutaki mchezo bana usanii sasa basi!!
 
wanafiki wakubwa, wanaizaya wachambia ndimu? wanamfunika nani macho? kama sio uhuni ni nini? leo ndo wanaona? na wakati hayo yakitendeka walikuwa wapi?
waache kutufunika macho kwa kitambaa transparent
 
Mkuu wa kaya atafanya mabadiliko kwenye baraza lake so hawajamaa wanawika midaa hii ili mkulu asiwasahau kwenye enzi yake
 
Back
Top Bottom