Management za CRDB , TRA & BOT

Apr 28, 2011
41
19
Tazama hii list ya management ya TRA

MANAGEMENT TEAM:

Item Title Hits

Mr. P. H. Mmanda
Mr. T. K. Muganyizi
Mrs. Tubagile Namwenje
Mr. K. Wakati
Mr. S. B. Mshoro
Mr. N. N. Msoffe
Mrs. Neema G. F. Mrema
Mr. L. B. Mwaseba
Mr. W. Juma
Mr. P. N. Kassera
Mr. L. B.S. Kandege
Mr. Placidus Luoga
Mr. Harry Kitillya

Source:

Kisha tazama hii ya CRBD:

well dont bother kwa sababu wameamua kuondoa list ya Management team yao

Profile

Then tazama ya BOT

Bank of Tanzania (BOT): Home Page : Benki Kuu ya Tanzania


Sasa its obvious kuwa kuna jambo ambalo CRDB na BOT wanaficha the question is je HILI LINALO FICHWA NI LIPI, KWA NINI na kwa FAIDA YA NANI?

haya ndio mambo ambayo inatakiwaJF ipiganie, TRANSPARENCY na analengwa mtu then ijulikane ni nani tunadela naye
then niambieni mmenona kuna walakini gani humo?
 
Sasa ukishajua majina ya menejimenti yanatusaidia nini hapa jamvini?

Halafu ku compare CRDB, TRA na BOT haiendi kabisa ndugu sijui ulikuwa unamaanisha nini hapo
 
Makabila yalio enda shule kwa wing lazima utakuta wamejaa ktk hzo management. Labda tu nikusaidie hao watu wana akili that is y wapo hapo is just like Israliets ktk idara nyeti za USA AU SERIKAL ZA DUNIA. Ujumbe wana akili no more.
 
unataka leta ukabila sasa, onyesha asije qualify kuwepo hapo ndo tujadili sio mbwembwe...!!!
 
Back
Top Bottom