Management of a company/project

Mwanyasi

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,955
7,101
Habari wanajamii,Naomba kufahamishwa, kuna document (siifahamu jina) ya uendeshaji/ utendaji inayoonesha jinsi uongozi wa project au kampuni na wajibu wa kila mmoja. Mfano meneja atafanya hiki lakini hiki hatafanya na watendaji wengine! Kuna project ua umeme wa maji inafanyika hivo tunaandaa facilities za uendeshaji! Tafadhali kama kuna mtu anaifahamu au kuwa nayo hata format tu, asaidie!
 
Mkuu

unazungumzia organization structure ..... !!!!!

wengine wanakuja speed
 
mkuu job descriptions haziko uniform, zinategemea na aina ya organization. Meneja wa shirika A si lazima kazi zake zifanane na meneja wa shirika B. Kinacho takiwa kaeni chini mziangalie zile core activities na chain yake. Amueni kazi hizi zifanywe na nani kulingana na nature ya organization yenu napia skills zinazohitajika ili activities hizo yifanyike
 
Ahsante sana mkuu,
 
kama no organization structure(distribution of power and responsibilities) hiyo ni rahisi hata kuitengeneza ww mwenye, itategemea na umepangaje safu ya uongozi wako.
 
Mkuu
inategemeana na project yenyewe, formalities za msingi ni katiba ya organization.
 
Google kitu kinaitwa "WBS" (work breakdown structure). Mimi na wakuu wangu wa kazi tunaitumia sana WBS kwenye IT/engineering projects. Labda itasaidia
 
Athari za madesa. Yaani mtu hawezi kuunda kitu chake mwenyewe kulingana na mahitaji yake hadi adese. Duu hatari
Manuals zina kazi gani...???? Au vitabu vina kazi gani...??? Hata huko shule tunadesa mitaala, lugha, topics etc
 
Athari za madesa. Yaani mtu hawezi kuunda kitu chake mwenyewe kulingana na mahitaji yake hadi adese. Duu hatari

Unafikri ni wapi ambako hawapigi madesa? Lecturers wenyewe wanapiga madesa sembuse na huyu?
 
Back
Top Bottom