Management of a company/project

Mwanyasi

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,955
7,101
Habari wanajamii,Naomba kufahamishwa, kuna document (siifahamu jina) ya uendeshaji/ utendaji inayoonesha jinsi uongozi wa project au kampuni na wajibu wa kila mmoja. Mfano meneja atafanya hiki lakini hiki hatafanya na watendaji wengine! Kuna project ua umeme wa maji inafanyika hivo tunaandaa facilities za uendeshaji! Tafadhali kama kuna mtu anaifahamu au kuwa nayo hata format tu, asaidie!
 
mimi huwa natumia project management institute guidelines (PMI/PMBOK) 4th edition.
 
Back
Top Bottom