Naamini kuna aina nyingi za management lakini hii mpya ya JK ya Management By Loitering siielewi maana anapita kila wizara ana sababisha foleni tuuu mjini bila kutoa ufumbuzi wa jambo lolote. Bora akae magogoni na awe anafungua semina na makongamano mpaka 2015 tuchague mtu mwingine.