Man Utd kama mvua ya upepo

Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,425
567
Wera wera..!! Mvua ya upepo haizuiliki kwa mwamvuli, wenye nyumba za tembe(chelsea) roho juu. Tujipongeze ma funs kwa ushindi wa heshima 1-0 si haba
 
weraaaaaaaaaaa weraaaaaaaaaa! aibu yao aibu yenu????....aibu yaooooooooooo!!!!!!!!!
 
wenger hakuna kitu pale ile timu ya watoto tu na wala awapo kimashindano kabisa,viva man.u viva sir alex,viva park .........................................
 
Back
Top Bottom