Man U kaogeshwa roundabout!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Wakiwa nyumbani OT,Man U wamegongwa 6-1 na mahasimu wao wa jadi Man city.Hii aibu ni sawa na mtu mzima kuogeshwa roundabout ya Msamvu-Moro mchana kweupeee!
 
Mara yako ya mwisho kupigwa ilikuwa lini? au unataka kuchezea makofi saa hii? kwanza hao sio mahasimu wetu saaana,Hasimu wetu mkubwa ni yule tuliemuogesha 8-1 pale round about ya emirate.
 
Ndio maana jirani yangu kapita hapa kimyaaaaa. Kichapo kibaya jamani.
 
eti kuna mtu kaniambia....Man U kapata bwana halafu huyo bwana akamuoa....eti ni kweli?.....he he he hee
 
Walikuwa wamezoea kutembea wametanua kwapa utafikiri wana majipu ya kwapani sasa imekula kwao!!!
 
He! he! he! he! auwii!! MAN-SITA UNITED. chimba bana! Kuzoweya kuwagegeda wenchake tu chiku chote izyi! Ila umpate yeye kwa chumvi ya mawe! Wallah kunoga!
 
Mara yako ya mwisho kupigwa ilikuwa lini? au unataka kuchezea makofi saa hii? kwanza hao sio mahasimu wetu saaana,Hasimu wetu mkubwa ni yule tuliemuogesha 8-1 pale round about ya emirate.

hamkutufunga emarates ... mlitufunga nyumbani kwenu... unlike manure arsenal hatuwezi kuwa humiliated goli nyingi hivo tukiwa emarates ... pole mkuu eti Leo unasema city sio wapinzani wenu kwa hiyo mmewaachia kudumbukiza goli sita.. hahaha, six & the city...
 
Mara yako ya mwisho kupigwa ilikuwa lini? au unataka kuchezea makofi saa hii? kwanza hao sio mahasimu wetu saaana,Hasimu wetu mkubwa ni yule tuliemuogesha 8-1 pale round about ya emirate.
Mkuu una jazba mpaka hukumbuki mechi ilichezwa wapi,mlitufunga mkiwa kwenu OT na wala sio 8-1 ni 8-2.Sisi mlitufunga tukiwa ugenini tukarudi nyumbani kuwaonyesha wake zetu makovu,lakini nyinyi mmetendwa uovu mbele ya wake na watoto zenu wakishuhudia live,haina haja ya kwenda kuwahadithia!.Pia mkuu kuna kitu hukifahamu,ni bora Arsenal afungwe na Man u lakini sio jirani wa mtaa wa pili Totenham hotspurs kwa sababu hata mkienda bar mtakutana uso kwa uso na inakuwa aibu kweli.Vile vile hata Man U ni bora apigwe na timu nyingine ila sio majirani wa pua kwa mdomo,Man City!
 
Haaaa kumbe masha'beki wa arsenane mpo?mi nlidhani wa man city ndo' watareact,hongereni kwa kubadili tim kila siku,mara hii mmeiacha barca mnashabikia man city? na sisi tunaanza kushabikia tot'ham sasa vijogoo wa London.
 
Kwakweli mancity jana mlinipa raha!nimelala ucngz kama mtoto!mansita United!ha ha
 
Haaaa kumbe masha'beki wa arsenane mpo?mi nlidhani wa man city ndo' watareact,hongereni kwa kubadili tim kila siku,mara hii mmeiacha barca mnashabikia man city? na sisi tunaanza kushabikia tot'ham sasa vijogoo wa London.
Mi sishabikii City pia nakuruhusu uende spurs ila usiwakimbie baadae.Halafu mkuu omba uhai ili uje shuhudia hao City watakavyocheza defense game kwa arsenal.
 
eti kuna mtu kaniambia....Man U kapata bwana halafu huyo bwana akamuoa....eti ni kweli?.....he he he hee

Tena kajipatia bwana wa ki machame na kuanzia leo Jina la man u limebadilika hawaitwi tena red devils bali wanaitwa 6DEVILS AU yaani tuwape tu hata SATAN6 maana waliwaita wenzao arse8 na wakatukatia na liver Jina leo zamu yao.
 
It happens...mpira unadunda bwana sasa sio kila siku tunapiga matarumbeta
 
Mara yako ya mwisho kupigwa ilikuwa lini? au unataka kuchezea makofi saa hii? kwanza hao sio mahasimu wetu saaana,Hasimu wetu mkubwa ni yule tuliemuogesha 8-1 pale round about ya emirate.

Simba na Yanga ni mahasimu kwa TZ na wote wapo Dar, Man u na man ct ni mahasim na wote wako Manchester sasa unaposema mahasim wenu ni wale mlowagonga 8-1 na kutowatambua hawa wanaume wa jijini ni sawa na kukimbia kivuli chako, ni kweli hata mlowagonga 8-1 ni mahasim wenu.
 
Mkuu una jazba mpaka hukumbuki mechi ilichezwa wapi,mlitufunga mkiwa kwenu OT na wala sio 8-1 ni 8-2.Sisi mlitufunga tukiwa ugenini tukarudi nyumbani kuwaonyesha wake zetu makovu,lakini nyinyi mmetendwa uovu mbele ya wake na watoto zenu wakishuhudia live,haina haja ya kwenda kuwahadithia!.Pia mkuu kuna kitu hukifahamu,ni bora Arsenal afungwe na Man u lakini sio jirani wa mtaa wa pili Totenham hotspurs kwa sababu hata mkienda bar mtakutana uso kwa uso na inakuwa aibu kweli.Vile vile hata Man U ni bora apigwe na timu nyingine ila sio majirani wa pua kwa mdomo,Man City!
Umesema kweli tupu mkuu.. ni sawa na SIMBA na Yanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom