Mamneno yepi ya kutongozea baada ya kujulia hali ?

nenda straight mwaya mwambie...'dada/asha/rose au jina lake...nimekupenda na ningependa tuwe wote maishani' kwa tone ya upole ila iko firm....mwenyewe ataingia line....all the best.
so jastina hata mimi nikisema hivyo utanielewa? Kwan karoho kangu kana kuhusudu sana.
 
Mwambie kuwa we Fame nimewaka na Lupembe yako nahitaji Makonyezi.Ila chungamila dogo usije ukapata Marukanga. Halafu ukiwa tee kabisa inakuwa foo inabidi uwe na Mzigo kwa sababu siku hizi Fame wengi wanawaka na Mzigo.Ukiwa tee utapata Fame za foo ila ukiwa na Mzigo utapata Fame za biee au Fame za Biloko.
 
kiukwel hawana formular bt ukimsifia pia kuzitoa pesa hata ukamnunulia ki2 cha bei ndogo tu atafall in love kwako
 
Back
Top Bottom