Mamneno yepi ya kutongozea baada ya kujulia hali ?

Eeeeeh bwana eeeh, hivi bado kuna kutongozana? upo age ya dot com kijana, mambo ya kumwaga sera yamepitwa na wakati.

Unamwambia tu, nimekuusudu nipe "mchezo".
 
Sifia anza macho mpaa masikio, afu unaeleka kwenye sura bada ya hapo unaelekea kwenye figa, na kama ikiwezekana toa na sifa kwa mavazi yak, viatu, mobile fone yake, yani we tafuta kila kitu usifie.

Afu njoo uniambie, mwanamke usimtukane dogo hao malaika wa dunia, mwanamke mpe misifa tu uone dunia inavyo enda.

All the best, dogo :poa
 
hiyo style ya kizamani mkuu
 
nunua chup ya guchi,alaf katkat ina kitobo,mwenyewe atakuambia twende geto,hapo ushindwe wewe2.
 
mwambie"oyaaa mi ndo nshakuzimia km vipi sogeza nichape,usimind bebi au vp" subir jibu hapo:wink2:
 
Tafuta pesa wewe acha ujinga wa kutafuta maneno! Mwanamke wa maneno labda ukakamate binam zako kwenu huko!

Rafiki , be calm ! Ushauri wangu wa bure , punguza ukali wa maneno ni member mwenzio huyu ! Mbona katoa hoja ya kawaida tu !
 
nenda straight mwaya mwambie...'dada/asha/rose au jina lake...nimekupenda na ningependa tuwe wote maishani' kwa tone ya upole ila iko firm....mwenyewe ataingia line....all the best.
 
Kwa muda mrefu limekuwa linanipa tabu swali hili naomba msada wenu .
Haha!Dogo kaa ukijua wanawake hawana formula!Yeyote utakayotunga wewe anaweza nasa!Soma mood kwanza,sio jua kali unaomba kumnunulia chai!
Ni PM nikutumie e-book itakayokusaidia kuwazoa,if you are 'that' desperate to know.
 
Back
Top Bottom