Wadau natumaini mko salama naomba mnijuze mwenye mamlaka ya kubadili ramani ya ardhi mf sehemu ya tindiga yaweza kufaa kwa ujenzi iwapo utafuata ushauri wa kitaalamu japo utakuta kwny raman haitakiwi kujengwa au sehemu ambayo zaman kulikuwa na mkondo wa maji na sasa umefutika kutokana na mabadiliko ya tabia nchi hii nauliza maana raman nyingi mf kinondoni municipal zimechukuliwa over 15 yrs ago na sasa sehemu nyingi zimebadilika naomba ushaauri wenu asanteni