tonge nyama
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 380
- 498
Mamlaka ya hali ya hewa nchini imetoa tahadhari ya uwezekano wa kutokea mvua kubwa mwanzoni mwa wiki ijayo katika mikoa inayopakana na bahari ya hindi. Kwa maelezo zaidi http://www.meteo.go.tz/store/warning.pdf au http://www.meteo.go.tz/store/tahadhari.pdf pia katika page zao Tanzania Meteorological Agency | Facebook na www.twitter.com/tma_services