Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)

Wakalale tu hawa jamaa manake kazi yao wanaifanya kama waganga wa kienyeji. Majuzi walisema kuna elnino inakuja baadae tukaambiwa mkondo umeihamisha elnino so haitakuwepo. Leo wanatwambia kuna mvua inakuja. Kuna jipya gani kwani nani asiyejua kuwa kwasasa kwamba kuna mvua za vuli? Wameshindwa kazi hao!!!!!
 
Ngoja niende nje niangalie kama kweli kuna dalili ya mvua kesho sababu hawa jamaa siwaamini kabisa.
 
Jamaa wanakula mishahara ya bure!
Huchelewi kuta semina na warsha hazikatiki kwenye hiyo taasisi yao
 
Wakalale tu hawa jamaa manake kazi yao wanaifanya kama waganga wa kienyeji. Majuzi walisema kuna elnino inakuja baadae tukaambiwa mkondo umeihamisha elnino so haitakuwepo. Leo wanatwambia kuna mvua inakuja. Kuna jipya gani kwani nani asiyejua kuwa kwasasa kwamba kuna mvua za vuli? Wameshindwa kazi hao!!!!!

Mi nafikiri wabongo tuache kuwa wavivu wa kufikiri aka vilaza, ni nani asiyejuwa kuwa hali ya hewa huwa inabadilika kila mara? Ni jukumu la mamlaka hii kutujulisha mabadiliko hayo kila yanapotokea, kubadilika badilika kwa taafifa hizi haimaanishi kwamba mamlaka ni wababaishaji bali ndio hali halisi ya kinachotokea angani kwa muda husika. Katika nchi za wenzetu wanaojua nini maana ya utabiri wa hali ya hewa media zao kama vile BBC na CNN wapo serious kiasi cha kuruhusu kutolewa kwa updates za weather kila baada ya nusu saa na taarifa hizo huwa zinabadilika badilika. Nafikiri hatuna sababu ya kutokuipongeza mamlaka ya hali ya hewa kwa kujitahidi kuwa karibu nasi hata katika mitandao ya kijamii Tanzania Meteorological Agency | Facebook ili kutupa taarifa. Ni jukumu letu kama wanajamii kufuata shauri za kitaalamu na si kubeza.
 
nasikia huko kanda ya ziwa especially Mwanza kunanyesha, pengine walikuwa wakilenga maeneo hayo
 
Bila shaka kuna maeneo serikali wanataka kuwavunjia nyumba walalahoi kwa kisingizio cha ujenzi wa mabondeni
 
Yaah ni kweli mwanza mvua inapiga kinoma, na hata imeshaua mtoto mmoja baada ya maporoko yaliyotokea katika nyumba zilizopo milimani. Watanzania tuache ubishi na polotiki katika kila kitu. Hali ya hewa kama alivyosema tonge nyama hapo juu ni kitu kinachobadilika badilika na ukiona TMA wanatoa taaarifa hizo ujue kweli wanafanya kazi kwasababu bila kufanya kazi watatoaje matarajio ya mabadiliko? Tatizo mnasahau kuweka neno "utabiri" katika fikra zenu mnapozipokea taarifa hizi.
 
Mi nafikiri wabongo tuache kuwa wavivu wa kufikiri aka vilaza, ni nani asiyejuwa kuwa hali ya hewa huwa inabadilika kila mara? Ni jukumu la mamlaka hii kutujulisha mabadiliko hayo kila yanapotokea, kubadilika badilika kwa taafifa hizi haimaanishi kwamba mamlaka ni wababaishaji bali ndio hali halisi ya kinachotokea angani kwa muda husika. Katika nchi za wenzetu wanaojua nini maana ya utabiri wa hali ya hewa media zao kama vile BBC na CNN wapo serious kiasi cha kuruhusu kutolewa kwa updates za weather kila baada ya nusu saa na taarifa hizo huwa zinabadilika badilika. Nafikiri hatuna sababu ya kutokuipongeza mamlaka ya hali ya hewa kwa kujitahidi kuwa karibu nasi hata katika mitandao ya kijamii Tanzania Meteorological Agency | Facebook ili kutupa taarifa. Ni jukumu letu kama wanajamii kufuata shauri za kitaalamu na si kubeza.
Linalohusu mkuu katika hili ni accuracy katika taarifa zao wala siyo suala la hali ya hewa kubadilika badilika. Wait a minute..... sijaona sababu ya kutokwa na povu hapa!!!
 
Linalohusu mkuu katika hili ni accuracy katika taarifa zao wala siyo suala la hali ya hewa kubadilika badilika. Wait a minute..... sijaona sababu ya kutokwa na povu hapa!!!

Hii mamlaka kumbe inafanya kazi, wabongo wenzangu tuwe tunazingatia ushauri utolewao na wataalamu wetu wa hali ya hewa na wengineo na kuacha kubeza. Angalia mwanzo wa thread hii na outcome kama ilivyoripotiwa hapa na michuzi MICHUZI: Wilaya ya Bahi yakumbwa na Mafuriko
 
Wawe wana mhusisha pia mzee wa upako vipimo vyake vinaweza kuwa vinakamata kuliko vyao.

Hata hivyo sie hatujawakataza kutupa taarifa kila wanapojisikia haijalishi kama kuna badiliko ikiwezekana watume hata sms kama tigo! Ni heri sana ukipiga cm ukapokea taarifa ya hali ya hewa mara mia kuliko kupokea matangazo ambayo hayana mpango.
Tatizo lao wanakaa kimya mno mpaka wanaonekana waongo!
Last time nilimsikia mmoja wao ktk TV akisema hawana fedha za kutosha kurusha mabalun yao yalete habari, nikajiuliza hata hayo machache wamerusha hayaleti habari ya kweli hata balun moja? Hayo yaliorushwa yameleta nini ili tuongeze.
 
Back
Top Bottom