Mamlaka ya hali ya hewa ivunjwe?

yusufummaka

Member
Apr 7, 2012
30
20
Ajali ya meli ya Zanzibar iliyofyeka watu wetu wengi huenda ingezuiwa kama tungekuwa na kituo mahili cha hali ya hewa nchini. Maana siku ya ajali hata mtu asiyemtaalam wa hali ya hewa angeweza kujua kuwa kuna upepo mkali baharini
 
Yusufu,hii mamlaka iko very up to date,ila tamaa ya pesa ndio inayotuangamiza.kwa mfano watabiri hali itakuwa mbaya baharini kwa masaa 6 hao wenye meli wapo tiari kusitisha safari na pesa ipo mlangoni? 2,vyombo vya habari hawatoi utabiri kadiri utabiri unavyopatikana utakuwa shahidi baada ya habari ndio wanatangaza hali ya hewa.
 
Ajali ya meli ya Zanzibar iliyofyeka watu wetu wengi huenda ingezuiwa kama tungekuwa na kituo mahili cha hali ya hewa nchini. Maana siku ya ajali hata mtu asiyemtaalam wa hali ya hewa angeweza kujua kuwa kuna upepo mkali baharini

mkuu majuto ni mjukuu,
ni sikitiko kubwa,
mungu awape subira wote waliopoteza ndugu zao!
 
Huyu muanzisha thread lazima atakuwa wa kule kwenye visiwa ndio walalamishi hivyo. Kwa hili wala usiwalaumu Idara ya Hali ya Hewa. Walitoa tahadhari mapema sana lakini kama kawaida badala ya kuchukua hatua kwa mujibu wa ushauri wa kitaalamu mnasubiri ramli za intelijensia matokeo yake ndio hayo mnaanza kutafuta visingizo vya muungano na mfumo.
 
Upepo ulikuwa mkali sana na meli ilikuwa haina mzigo na ni nyepesi ,huwezi kuifananisha na meli kubwa ambazo zinapokuwa hazina mzigo huwa zina matank spesho hujazwa maji ili kuifanya iwe nzito..
 
ivunjwe haina lolote!eti baada ya ajali ndio wanasema kutakua na upepo mkali baharini
 
sidhani kama kosa lao ebu cheki hapa

Washington state sells 2 ferries to Tanzania
Washington state sells two of its passenger ferries to Tanzania.
By Susan Gilmore
Seattle Times staff reporter
The Kalama and the Skagit ferries tied up at Vallejo.
New Picture.png
The state finally has sold two of its discarded passenger-only ferries, the Kalama and the Skagit, to the African nation Tanzania.
The ferries have been docked and inactive since September 2009. The Legislature ordered the state to get out of the passenger-only ferry business in '06.
The two ferries had been sold to a boat broker in Port Coquitlam, B.C., which sold them to Tanzania. They will be put in service between the mainland of Tanzania and the Zanzibar archipelago. They were sold for $400,000 combined, far below the $900,000 value the state said they were worth in December 2009.
Marta Coursey, spokeswoman for Washington State Ferries, said the two boats will be taken to Africa by cargo ship.
The state had hoped to sell the two 112-foot boats locally, but when that failed, it placed them for auction on eBay, asking $300,000 each, with no success. The ferries were built in New Orleans and purchased in 1989 for $5 million.
Ferry historian Steve Pickens said the Kalama and the Skagit were the first two passenger-only boats the state built. They were supposed to go into service in 1989 but were tied up because there was no money to run them. Following the Loma Prieta earthquake of 1989, the two vessels were sent to San Francisco and served commuters crossing the bay while the city's bridges were repaired.
 
Mi cjaona watabiri wa hali ya hewa kama wana matatizo wako sahihi!

Wa kulaumiwa ni viongozi wa idara za juu na ndio wale wale Mi nawalaani siku zote mpk mwisho na serikali yake tawala!
 
Kasome tena, wao walifanya kazi yao vizuri na walitabiri sikutatu mfululizo hali itakuwa mbaya na imekuwa hivyo unatka nini tena?

Tatizo wa BONGO wakiangalia taarifa ya habari ikifika wakatio wa utabiri wa hali ya hewa, wanabadili channel, mimi mara nyingi huwa nasikiliza na wanatoa utabiri wao safi tuu, ila sie wa TZ ndo hatufuatilii kabsaaaa
 
Kwenye kutoa vibali kwa meli za kubeba mafuta za Iran utawasikia sana tu LAKINI inapokuja kuwajibika kwenye masula ya ajali hawasikiki...:hat:
 
Kasome tena, wao walifanya kazi yao vizuri na walitabiri sikutatu mfululizo hali itakuwa mbaya na imekuwa hivyo unatka nini tena?

mkuu leo saa 2ucku tbc1 walikua wanamhoji m1 wa maofisa wa hali ya hewa oficn kwake na yeye alikiri kua hali ya hewa ilionekana kutakua na upepo baharin kias fulan lakin hakikuonekana kiasi icho cha upepo kua tishio sana adi washauri vyombo visisafiri baharin apo je ndo tusemeje cc wananchi?
 
Back
Top Bottom