segwanga
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,789
- 729
Jana usiku mida ya saa tatu kulikuwa na tukio la kupatwa kwa mwezi.Hili ni tukio la kawaida lakn linahitaji kubainishwa kwa watu ili wale wasiofaham kuwepo kwa tukio hlo waelewe. Kwa mtu ambaye hajawahi kushuhudia anaweza kuhofia pengine kulihusisha tukio hili na imani za dini au kishirikina.
Mamlaka ya anga mlikuwa wapi kuwajuza wananchi? au na nyie hamkujua?
Mamlaka ya anga mlikuwa wapi kuwajuza wananchi? au na nyie hamkujua?